Royal Tour ya Rais Samia yaanza kujibu | Rapper Rick Ross kuwekeza karibu Tshs 8.1bl Tanzania

Wewe unadhani ni nani?
Mitego ya Rais Samia ya Royal Tour yanasa TZS 158.4bl | Hoteli nne kubwa za kitali hadhi ya Kempinski kujengwa Serengeti, Ngorongoro,Manyara & Tarangire,

________________________________

Wawekezaji toka Bulgaria matokeo ya Royal Tour kuwekeza US$ 72M karibu sawa na Tsha 158.4BL kwa kujenga Hotel nne kubwa za nyota tano ( Five Stars Hotel ) katika mbunga za Serengeti, Ngorongoro, Manyara & Tarangire,

Utawala wa Rais Samia Suluhu Hassan kwa kipindi kifupi cha miezi sita umeonesha matokea makubwa katika kila kona ya nchi, madhalani uwekezaji tayari umekua kwa 400% toka uwekezaji wa US$ 510M hadi US$ 2.98BL sawa na Tshs 7trilioni pesa ambayo itamfikila kila Mtanzania popote alipo katika njia moja au nyingine,

#Mliokuwa mnalalamikia gharama ya Royal Tour mnasemaje kuhusu hizi bilioni 158.4 za fasta !??


.........Kazi iendelee.........
 
Tanzania ya Samia ni noma,

Umeme bei Chee EAC
Petrol bei Chee EAC
Disel bei Chee EAC
M|taa bei Chee EAC
Data (MB) bei Chee EAC
Maji bei Chee EAC
 
Tanzania yaongoza kwa bei ndogo ya mafuta ya taa, disel na Petrol Afrika Mashariki, Kenya bei juu

#HONGERA RAIS SAMIA
 
Unajua Rais Samia amejenga madarasa elfu 18?

Endelea kumwombea
 
 
angejenga hotels tu, hiyo real estate kwa bongo ataumia. labda mzunguko wa pesa ukiongezeka.
 
14|10|2021

Rais Samia atakuwa Chato kwenye kuzima Mwenge

Sherehe zitafanyika Uwanja wa Magufuli,

Karibu sana njoo Uungane na Rais wako,

_______
 
Kwahiyo unabishana na Rick Ross mwenyewe?

Tanzania imeshadunguka wewe inakuuma nini?

Hujui hata ndg zako wanaweza kupata ajira?

Let's be positive to our country

___________________________________________
Kaziindelee kwa kasi & wekedi zaidi
 
πŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏ


Miezi sita ya Rais Samia,

Nchi imetulia tuli,
Wawekezaji kama wote
Wahisani kama wote
Wananchi Shangwe kila kona

#KAZIIENDELEE
 
Hovyooo sana, Rozay alifanya interview na Tambwe, ndio mchongo wote ukaanzia hapo.

Kuzurura kwa samia hakuhusian na huo mchongo
πŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏ


Miezi sita ya Rais Samia,

Nchi imetulia tuli,
Wawekezaji kama wote
Wahisani kama wote
Wananchi Shangwe kila kona

#KAZIIENDELEE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…