Royal Tour ya Rais Samia yaanza kujibu | Rapper Rick Ross kuwekeza karibu Tshs 8.1bl Tanzania

Huyo atakua rickross wa unguja ndio anakuja tz
 
Kale kavideo conference ndio mnaileta kama habari? Pale si walikuwa wanapiga soga tu
 
Mbona alishawahi kuja Tz
 
Wazee wa kuchuna waanza kukaa mkao wa kumchuna
 
Hivi billion 8 nayo ni hera yakuonyesha kama ndo mafanikio ya tour ya mh rais
 
Ahsante kwa taarifa, itakua kashaanza kuwekeza kwa Hamisa...
 
Mkuu 8b ni pesa ndogo?
Billion 8 siyo hera nyingi katika masuala ya uwekezaji..Angalia magorofa ya Nssf au jengo la ofisi ya makamu wa rais linakula hera nyingi billion 18 lakini sijengo la kutisha sana,,sasa hapa kwa hizi billion 8 ni hera ndogo
 
Billion 8 hata Dangote wa Bongo anazonyingi sana zaidi ya hizo
 
πŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏ

Miezi sita ya Rais Samia,

Nchi imetulia tuli,
Wawekezaji kama wote
Wahisani kama wote
Wananchi Shangwe kila kona

#KAZIIENDELEE
Na gaidi yupo jela, uamsho wapo huru
 
Billion 8 siyo hera nyingi katika masuala ya uwekezaji..Angalia magorofa ya Nssf au jengo la ofisi ya makamu wa rais linakula hera nyingi billion 18 lakini sijengo la kutisha sana,,sasa hapa kwa hizi billion 8 ni hera ndogo
Hera?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…