Royal Tour ya Rais Samia yaanza kujibu | Rapper Rick Ross kuwekeza karibu Tshs 8.1bl Tanzania

Billion 8 siyo hera nyingi katika masuala ya uwekezaji..Angalia magorofa ya Nssf au jengo la ofisi ya makamu wa rais linakula hera nyingi billion 18 lakini sijengo la kutisha sana,,sasa hapa kwa hizi billion 8 ni hera ndogo
Sisi tushukuru kwa chochote
 
Wewe utakuwa ni mzalendo hasa,kwa kutuletea habari za maendeleo.Usiache kutuhabarisha.Najivunia kuwa mtanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jibu Mswali haya kwa Ukamilifu,

1.Rais Mnyenyekevu Africa -SAMIA

2.Rais mpole Africa -SAMIA. √

3. Rais mchamungu Africa -SAMIA √

4. Rais rafiki wa wananchi wake Africa -SAMIA √

5. Rais Chaguo la Watanzani 2025-2030 -SAMIA √

Hata gaidi jiwe mliimba hivyohivyo .
Ila mfungwa Sabaya kawaumbua
 
Film ya Royal Tour inatoka mwakani Feb au March. Usifananishe na Movie za Kanumba alizokuwa anatoa kila wiki.
Rais Samia ameongeza wanafunzi 29,000 kwenye mikopo ya elimu ya juu HESLB kwa miezi sita tu,

miaka mitano mfululizo iliyopita tulifanikiwa wanafunzi wapya 32,000

Unaisemaje kasi ya Rais Samia?
 
πŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏ

Kutoka Mwaka 2015/16 hadi 2020/21 pesa iliyoongezwa bodi ya mikopo ilikuwa Tshs 101BL na wanafunzi wapya walikuwa elfu 32 ,

Awamu ya sita kwa miezi sita pesa iliyoongezwa kwenye bodi hiyohiyo ni Tsh 120b na wanafunzi wapya ni elfu 29

Budget ya HESLB kwa mwaka 2015/16 ilikuwa 348.7B kwa wanafunzi 98,300

Budget ya HESLB mwaka 2020/21 ilifikia 450B kwa wanafunzi 130,883

_________________________

Awamu ya sita kwa miezi sita imeongeza budget kutoka 450B za awali hadi 570B za sasa na idadi ya wanufaika imeongezeka na kufikia 160,000.

#Hoja hapa ni muda wa matokeo

#HAKUNA KAMA SAMIA
 
Watu wa Lumumba mnapenda kubwatuka yaani sasahivi mmeshaanza kumnanga Mwendazake mliyekuwa mkisema kaletwa na Mungu, CCM ni Ile Ile by Captain Komba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…