Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Au atakuja kwa ajili ya mobettoAiseee we jamaa ni kituko kabisa....... pamoja na hizo story za Ross kamwe awezi wekeza tanzania ... itabaki story ,,,,,, hivi uhusiano wa hii story na royal tour uko wapi?
πAu atakuja kwa ajili ya mobetto
KhaaaAnakuja kwa sex tourism
No, kuwekezaAu atakuja kwa ajili ya mobetto
Hata kwa mobetto ni uwekezaji lakiniNo, kuwekeza
DaaahHata kwa mobetto ni uwekezaji lakini
HahahaHata kwa mobetto ni uwekezaji lakini
Songa mbele mkuuMakopo ndio nini?
hahaha, Nimecheka kwa sauti sana,Au atakuja kwa ajili ya mobetto
Thread nyingine ni Ze Comedy.Nawasalimu kwa jina la JMT,
|Rapper maarufu duniani raia wa Marekani Mr William Leonard Roberts II a.k.a Rick Ross aonesha nia ya kuwekeza Tanzania kiasi cha $3.5M karibu Tshs 8.1BL katika sekta ya Ujenzi|mali zisizohamishika|
|Rick Ross kufika tu Tanzania tayari tutavuna waatali wengine wengi kwa mgongo wake kama mtu maarufu dunaini |
|Katika kile kinachoonekana kama matokeo ya "ROYAL TOUR FIRM " hata kabla ya uzinduzi wake rasmi tayari mambo yameanza kujibu|
|Tuendelee kuiombea nchi yetu pamoja na Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan|
ππΏππΏ
________________Rick Ross ready to invest $3.5 million in Tanzania
American rapper Rick Ross has said he is ready to invest a tune of $3.5 million( Sh8.1 billion) in real estate in Tanzania.www.thecitizen.co.tz
Dar es Salaam. American rapper Rick Ross has said he is ready to invest a tune of $3.5 million( Sh8.1 billion) in real estate in Tanzania.
Ross whose real name is William Leonard Roberts II has a net worth of $40 Million mainly from music but is also an entrepreneur.
His main business venture is owning several Wingstop restaurants in the US.
The Maybach Music Group boss revealed in an interview with presenter Omary Tambwe alias Lil Ommy through a zoom video conferencing.
Lil Ommy suggested three places in the country that are potential investment spots, which include commercial capital Dar es Salaam, Arusha and Zanzibar.
Replying to the suggestions Ross said: I love being around water but I want to be around people too, so if I spend $3.5 million I will have something amazing.
Apart from investing in real estate the 45-year-old rapper said he will visit Mount Kilimanjaro and spend one week there.
βI have been hearing of Serengeti and Kilimanjaro my whole life, me being an artiste, entrepreneur and a boss it takes up to 10 years to get your feet planned to enjoy the ground,β
βI am at the point where I have time and I can afford to go to Kilimanjaro to enjoy being there for a week,β he said.
Kazi iendelee
VIVA TANZANIA VIVA || VIVA SAMIA VIVA
ππThread nyingine ni Ze Comedy.
Nani kasema?Film ya Royal Tour inatoka mwakani Feb au March. Usifananishe na Movie za Kanumba alizokuwa anatoa kila wiki.
Lazima kujivuna kama nchiNawasalimu kwa jina la JMT,
|Rapper maarufu duniani raia wa Marekani Mr William Leonard Roberts II a.k.a Rick Ross aonesha nia ya kuwekeza Tanzania kiasi cha $3.5M karibu Tshs 8.1BL katika sekta ya Ujenzi|mali zisizohamishika|
|Rick Ross kufika tu Tanzania tayari tutavuna waatali wengine wengi kwa mgongo wake kama mtu maarufu dunaini |
|Katika kile kinachoonekana kama matokeo ya "ROYAL TOUR FIRM " hata kabla ya uzinduzi wake rasmi tayari mambo yameanza kujibu|
|Tuendelee kuiombea nchi yetu pamoja na Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan|
ππΏππΏ
________________Rick Ross ready to invest $3.5 million in Tanzania
American rapper Rick Ross has said he is ready to invest a tune of $3.5 million( Sh8.1 billion) in real estate in Tanzania.www.thecitizen.co.tz
Dar es Salaam. American rapper Rick Ross has said he is ready to invest a tune of $3.5 million( Sh8.1 billion) in real estate in Tanzania.
Ross whose real name is William Leonard Roberts II has a net worth of $40 Million mainly from music but is also an entrepreneur.
His main business venture is owning several Wingstop restaurants in the US.
The Maybach Music Group boss revealed in an interview with presenter Omary Tambwe alias Lil Ommy through a zoom video conferencing.
Lil Ommy suggested three places in the country that are potential investment spots, which include commercial capital Dar es Salaam, Arusha and Zanzibar.
Replying to the suggestions Ross said: I love being around water but I want to be around people too, so if I spend $3.5 million I will have something amazing.
Apart from investing in real estate the 45-year-old rapper said he will visit Mount Kilimanjaro and spend one week there.
βI have been hearing of Serengeti and Kilimanjaro my whole life, me being an artiste, entrepreneur and a boss it takes up to 10 years to get your feet planned to enjoy the ground,β
βI am at the point where I have time and I can afford to go to Kilimanjaro to enjoy being there for a week,β he said.
Kazi iendelee
VIVA TANZANIA VIVA || VIVA SAMIA VIVA
Uwekezaji wa jengo la 8 bil sio kitoto.Thread nyingine ni Ze Comedy.
Duuuh, nikazi sana kukutofautisha wao na wewe,NAONA ZILE ZAMA ZA WACHUCHUMIA TUMBO ZINAENDELEA
KAZI NI MOJA TU PRAISE AND WORSHIP WENYE VYEO VYAO, HATA AKIJAMBA MAVI WEE PRAISE ANANUKIA PERFUME
KIZAZI CHA WAPUMBAFU KABISA
Nikazi sana kukutofautisha wao na wewe kwa maandiko hayaNAONA ZILE ZAMA ZA WACHUCHUMIA TUMBO ZINAENDELEA
KAZI NI MOJA TU PRAISE AND WORSHIP WENYE VYEO VYAO, HATA AKIJAMBA MAVI WEE PRAISE ANANUKIA PERFUME
KIZAZI CHA WAPUMBAFU KABISA
WhyThread nyingine ni Ze Comedy.
Unamaana huoni...... endelea kusubiria meli Airport.
DaahUnamaana huoni...... endelea kusubiria meli Airport.
DuuhNAONA ZILE ZAMA ZA WACHUCHUMIA TUMBO ZINAENDELEA