RPC aliyetamani cheo cha IGP huenda kuna kitu kakiona kuwa hakipo sawa

🐒🐒🐒
Your browser is not able to display this video.
Your browser is not able to display this video.
 
Hakuna kitu,hujawahi hata kutoa shule kuhusu mambo ya usalama kwenye mtandao,leo unataka kuwa IGP,hapo pwani umefsnya nini Cha upekee,umeacha program gani za usalama,
 
Kwani nyie mliopo makazini hamtamani vyeo vya mabosi wenu

Ova
 
Keshaliwa kichwa
 
Muda si mrefu hana RPC,atakwenda kufundisha CCP au kusoma magazeti makao makuu.Fitina zao nizaidi ya Lumumba.
Tayari amerudishwa makao kusoma magazeti na kuchunguzwa juu. Amezingua kwa kweli.
 
Kukilinda dhidi ya nani mkuu? Kwani hao wapinzani wanataka kuwafanyia uhalifu ccm hadi ccm polisi iwalinde?
Dhidi ya wapinzani Ili wasichukue madarakani wanawasaidia ccm kuiba kura
 
Awamu ya tano kuna mtu alitamani kushika nafasi ya MALAIKA NA IGP lakini hamjamlaumu sana kama huyu jamaa.
 
Dhidi ya wapinzani Ili wasichukue madarakani wanawasaidia ccm kuiba kura
Kama ni hivyo mbona 2015 vyama vya upinzani vilishirikiana kuweka mgombea mmoja wa kugombea urais ina maana walifanya hivyo ili kukabiliana na polisi au hawakuwa wakijua kwamba polisi wanawasaidia ccm?
 
Ulikuwa ni uchaguzi Kati ya upinzani na police
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…