RPC aliyetamani cheo cha IGP huenda kuna kitu kakiona kuwa hakipo sawa

Unaweza kutamani lakini sio public kama alivyofanya akijua yeye anafanya kazi chini ya Sirro ambaye cheo chake ndio anakitamani badala yake., amekosea sana, sana
 
Mara nyingi tunaambiwa humu kwamba

Ukitaka kujua tabia ya mtu,basi umpatie Pombe alewe.

Huenda hiyo ndiyo Formula iliyotumika.
 
Kuna aliyetamani kuwa mkuu wa malaika na nadhani ameshapewa nafasi hiyo sasa.!!
 
Wengi wanajiuliza na kuona kama 'Hakuna kosa' hapo, lakini kuna makosa makuu 2 ya haraka-haraka

1- Kimaadili ya kazi, huwezi onyesha tamaa dhahiri ya wadhfa fulani wakati upo katika ngazi nyingine,

2- "Nipewe hata miaka 3 tu, niwaachie!", anaonesha mashaka na utendaji wa IGP.
 
kuna kipindi alituhakikishia hatamkamata kigogo yule wa twitani yule zamani lkn
 
Vyeo Alivyovitaka Ni Hivi:-
1.DCI Director Of Criminal Investigation ~Kimeshajazwa
2.Kamishna Zanzibar ~Kimeshajazwa
3.IGP ~Yeye Nadhani, Kaona Ipo Ipo

Ukisikia Nyani Katema Bungo Na Siyo Msimu Wa Maembe Ndiyo Hii Ya Nyegesa

Atatiwa Msukosuko Na Wenzake Mpaka
 
Nasikia ameshapangiwa HQ na uRPC kapelekwa mtu mwingine
 
Ndiomaana JPM alikataza sherehe baada ya kuteuliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…