Kutoka ilipo ofis ya RPC Dodoma mpaka Makao makuu ya Polisi ni kama toka mataa ya Fire na Makao ya Simba Msimbazi. Ni mwendo wa dakika tatu hadi nne kwa mguu. Hastaili hata kulipwa hata senti tano ya uhamisho.
Wanaharakati ndo wamepush hii pressure huko Facebook na twitter na si unajua kule pakichafuka serikali chap inareact maana kuna kundi kubwa sana la wanaohemuka na matukio tofauti na JF wenye akili na elimu ni wengi.