milele amina
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 6,045
- 8,080
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nope kauli haikuwa mzuri. Ikionyesha kama anataka kumlinda mtu. Hii issues ni very sensitive, Manka alipaswa kuwa makini.
Kutoka ilipo ofis ya RPC Dodoma mpaka Makao makuu ya Polisi ni kama toka mataa ya Fire na Makao ya Simba Msimbazi. Ni mwendo wa dakika tatu hadi nne kwa mguu. Hastaili hata kulipwa hata senti tano ya uhamisho.Makao makuu ni Dodoma siyo Dar anaenda tu na bajaji
Huu mtandao una uzidi twitter? Andika uchawa huone post yako inavyofutwa huku pia kuna ujinga tuSasa nimeamini jf ndio mtandao wa kuaminiwa !!
Asante Mungu Kwa akili ya mwanzilishi wa mtandao huu!
Ywani Facebook umeweka? Lini Facebook imepush? Si bora humu wazee wa mkumbo na kina mashambwa wazee wa salaiWanaharakati ndo wamepush hii pressure huko Facebook na twitter na si unajua kule pakichafuka serikali chap inareact maana kuna kundi kubwa sana la wanaohemuka na matukio tofauti na JF wenye akili na elimu ni wengi.
Atalipwa pesa za wajingaKutoka ilipo ofis ya RPC Dodoma mpaka Makao makuu ya Polisi ni kama toka mataa ya Fire na Makao ya Simba Msimbazi. Ni mwendo wa dakika tatu hadi nne kwa mguu. Hastaili hata kulipwa hata senti tano ya uhamisho.