RPC Dodoma atumbuliwa baada ya kutoa taarifa tata ya binti kulawitiwa anaweza kuwa anajiuza

RPC Dodoma atumbuliwa baada ya kutoa taarifa tata ya binti kulawitiwa anaweza kuwa anajiuza

Safi sana,hii ni hatua njema na inayoleta matumaini kwenye hii kesi,

Sasa hivi kila muhusika kwenye hii kesi atakua makini zaidi na kutenda haki,

Hope haki itapatikana tu na watuhumiwa watahukumiwa kwa mujibu wa sheria kama wakikutwa na hatia,

Haki hua haipotei bali inaweza kuchelewa tu.
TABASAMU LILE LA MUDA WOTE HUWA SI LA KWELI.
 
Good

Tangu Prof Kabudi arejeshwe Barazani Imani yangu Kwa Rais Dr Samia imekuwa ni ya kutukuka 😀😀🌹
Hivi hii dawa iliishia wapi maana tuliambiwa imeenda kufanyiwa tafiti NIMR ndio igawiwe kwa watu ila ajabu Kabudi hapo alikuwa amekwishainywa!
images (63).jpeg
 
Kwa kauli hiyo ya aliyekua RPC Dodoma naanza kupata picha ni nan aliwatuma wale vijana.
Upelelez wangu umekamilika
 
Mkuu hauelewi maana ya kuwekwa benchi'nini?

Rpc ana cheo na madaraka.

Kurudishwa makao makuu kanyang'anywa madaraka na kubakiwa na cheo.

Au na ufafanuzi huu bado hauelewi faida yake?
Bado sijaelewa,
Mshahara unapungua unapungua?
Posho inapungua?
Au ni kama mchezaji tu anapofanyiwa sub kwenye mechi?
 
Mwanadiwani bila shaka alikuwa.... Lizaboni wengi walimhisi ni Madelu lameck nchemba huku hamy d akidaiwa ni Mwana wa Moses wakati huo huo buku 7 from lumumba wakitumia mheko kujibu hoja... Alipoingia mwendazake magogongoni na kwenda lumumba aliwafurrumusha wote
Hii comment inaonekana imejaa madini sema unaandika kiprofesa sisi wa diploma unatuacha 😅
 
Akili za polisi wakati mwingine huwa wanazijua wenyewe. Wanakera sana.

Ova
 
Unajamba seat ya mbele tunakuhamiahia seat ya nyuma. Gari hilohilo.

Sad enough ni kwamba, aliyechukua nafasi yake ni George Katabazi. Aliyekuwa RPC wa manyara, aliyesimamia kesi ya aliyemuingizia chupa kijana wa kiume makaliona.

#COYG
 
Bado sijaelewa,
Mshahara unapungua unapungua?
Posho inapungua?
Au ni kama mchezaji tu anapofanyiwa sub kwenye mechi?
Mkuu uwe unajiongeza basi hata kidogo tu.

Yaani hujui kwamba alipokuwa RPC alikuwa anapata allowances mbalimbali na perdiem za kutosha awapo nje ya eneo la kazi?

Hivyo vyote vinakoma ukishatolewa kuwa RPC na kuwa polisi wa kawaida ambaye huwezi kutoa order tena badala yake unakuwa toothless.
 
Ilitakiwa kufukuzwa kazi na kumshtaki mahakamani.
Hii ndo ile hatuko salama kwa viongozi dizain hii.
Mfumo wa CCM umeoza hauna jipya.
Wanapwaya.
Wenye uwezo wa nafasi nyingi za utendaji,wanasota mitaani.
Vilaza vya baba kanituma ndo yamejazana kwenye ofisi za umma.

Serikali inazidiwa na secta binafsi ktk utendaji.

Secta binafsi,wako active kwa Kila jambo,hakuna janja janja.

Ifikie hatua,serikali ufanye kazi kwa watumishi kwa mikataba ya mda mfupi.

Mtu unaendabkusoma VETA udereva.
Anaweza akapewa gari,ila haijalishi una gari au huna.
Leseni yako Kuna mda inatakiwa ukairenew.Secta binafsi,unafanya kazi k2a mikatabq.inatakiwa serikqlini iwe Ivo.
Ndi maana wanasiasa wanacheza na mda maana kazi zao au vyeo vyao ni vya mda.
 
Ulimi ni kitu kidogo ila madhara yake ni makubwa. Huenda ni shule, angalia mbunge fulani darasa la saba anavyoropoka kwa ukosefu wa elimu.
 
Huyu haikutakiwa kupelekwa HQ japo hakuna per diem…
Ni wa kufukuza kabisa, uwezo wake wa kufikiri ni mdogo.
 
Alafu anakuja Tlaatlaah ishu hii anaona poa na kauli ya RPC alikuwa anaiona sawa tu 😄

Ova
ni katika kuimarisha, kuboresha na kuongeza ufanisi wa utendaji wa serikali na taasisi za umma, mabadiliko, teuzi na tenguzi hufanyika, na si vinginevyo ama kuna Tatizo mrangi?🐒
 
Back
Top Bottom