makedonia
JF-Expert Member
- Nov 17, 2014
- 4,171
- 3,461
TABASAMU LILE LA MUDA WOTE HUWA SI LA KWELI.Safi sana,hii ni hatua njema na inayoleta matumaini kwenye hii kesi,
Sasa hivi kila muhusika kwenye hii kesi atakua makini zaidi na kutenda haki,
Hope haki itapatikana tu na watuhumiwa watahukumiwa kwa mujibu wa sheria kama wakikutwa na hatia,
Haki hua haipotei bali inaweza kuchelewa tu.