GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
"Unamuona kabisa kuwa huyu Mwanaume hajaumia kwa Ajali bali kachezea mno Kichapo cha Mkewe Nyumbani na unataka kumsaidia halafu anakataa na kuzidi Kukudanganya. Wanaume mkipigwa na Wake zenu kuweni Huru kuja Polisi au kwenda katika Madawati ya Kijinsia na mtapata Msaada" amesema RPC Kamanda Muliro Asubuhi hii akizungumza katika Kipindi Bora cha Jumapili cha Mazungumzo ya Familia kutoka Radio One ambacho Mimi GENTAMYCINE ni Balozi wake Mkuu na wa Kujiteua Mwenyewe.
Kuna Mtu Nyumba ya Tatu juzi juzi tu nilisikia akizozana na Mkewe na jana nimemuona ana Plasta Mdomoni na Kisogoni hivyo ngoja niamke nikamuulize Kulikoni japo najua ( nabeti ) jibu la Utangulizi na linalotukuka ambalo nitapewa ni kuwa aliangushwa na Bodaboda.