RPC Muliro: Wanaume mnaopigwa na Wake zenu acheni Kudanganya kuwa mmepata Ajali ili mpate PF3

RPC Muliro: Wanaume mnaopigwa na Wake zenu acheni Kudanganya kuwa mmepata Ajali ili mpate PF3

Mbeya huko wanaume wanatembezewa sana kichapo

Ova
Wanawake wa Mbeya ni watii mno na wanaheshimu waume zao na ni wavumilivu, kwa hali hii si rahisi hata kunyanyua mkono kumpiga mwanaume.

Wanawake wa Mbeya baadhi huwa wanapigwa na waume zao, japo inawezekana kabisa wakawepo wanawake wanaopiga waume zao hao watakuwa si wenyeji wa Mbeya ni wahamiaji wa Mbeya,

Hao wachache hawawezi kufanya wanaume wa Mbeya waonekane wanapokea kichapo toka kwa wake zao, nasisitiza wanaume wa Mbeya wanajiamini sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakubaliana nawe kwa hili 100% kwani nina Rafiki yangu Mtanzania Kaoa Mwanamke wa Kenya na Kiukweli kumuona akiwa na Makovu, Plasta na Vidonda vya Kukwaruzwa na Kucha ni Jambo la Kawaida mno.
Mimi pia nishashuhudia familia ya wakenya walikuwa jirani zetu, jamani huyo Mama alikuwa anamnyanyasa Mme wake kwa matusi na kipigo mara kwa mara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kupigwa na mwanamke ni AJALI hiyo, maana Si jambo la kawaida.😃😃

Bt Kwa ujumla ukinyweshwa Yale maji machafu, utapigwa tu, na utakuwa huna maamuzi sawa tu na maiti.

Wapo wanawake baadhi walioumbwa na nguvu kuliko waume zao na hawadiriki kufanya hivyo sababu ya utii.
 
Back
Top Bottom