RPC Muroto atoa onyo kwa BAWACHA, asema wanaotaka kuandamana watakipata wanachokitafuta wakasimulie wenzao huko Geita

Alitumia loophole iliyokuwa inajulikana kwenye English Law kama ni Double Jeorpady. Ikiwa na tafsiri kuwa huwezi kuhukumiwa kwa kosa hilo hilo mara mbili. Ikiwa alikwisha shitakiwa na kuhukumiwa kwa kosa la kumuuwa mtu huwezi kushitakiwa tena kwa kosa la kumuuwa mtu yule yule kwa mara ya pili kwa sababu mtu kisheria a anakufa mara moja tu.
 
Res judicata
 
Wajinga hao wanawake.Wanatakiwa kuandamana kwenda kwa mbowe kuwa aitishe kikao cha baraza kuu ili kitoe maamuzi ya kina halima Mdee.Wamepeleka shauri lao baraza kuu ambalo ndilo lenye mamlaka ya mwisho ya kumfukuza mtu uanachama

Kwa spika wanafuata nini? eti spika afanye maamuzi

Maamuzi yanatakiwa kufanywa na baraza kuu la Chadema kwa mujibu wa katiba yao sio Raisi wala mahakama wala bunge

Internal process bado haijaisha

Katiba yao iko wazi Dodoma wanafuata nini?

Washinikize baraza kuu lao la chama chao likae kikao limalize hilo swala

Tumeshawashauri wakipata kipigo tusilaumiane wameyataka
 
Ningelikuwa rais huyu RPC ningefukuza kazi Mara moja.Anaaibisha Sana jeshi la polis...
Anaetakiwa kufukuzwa ni Mbowe na Mnyika kwa kutoitisha kikao cha baraza kuu la Chadema limalize hilo swala kama katiba ya CHADEMA inavyotaka
 
Na ni haki yao kikatiba,ruksa kufanya maandamano ya amani,ba ulinzi mnapewa,ila uonevu huu.
Wanavunja katiba yao ya CHADEMA swala la hao wabunge limepelekwa baraza kuu la Chadema Dodoma wanafuata nini? swala liko ndani ya ofisi zao za chama .Kikao cha baraza kuu hakijafanyika.Hawana cha kuandamana hapo.Ni uvunjaji katiba ya chama chao na uvunjaji sheria
 
Anataka kumkwamisha Mama Yetu.

Kwani Katiba inasemaje kuhusu huo uhalali wa hao wabunge?
Wakifukuzwa na vikao halali hapo sawa.Baraza kuu Chadema bado halijakaa kuamua hatima yao.Watakapokaa na kuamua kuwafukuza uanachama hapo ndipo watakuwa sio wabunge tena

Wamepeleka shauri lao baraza kuu lao kama katiba inavyotaka ya chama chao.Baraza halijakaa kuamua hivyo bado wao ni wabunge halali
 
Si unajua wivu wa wanawake kwa wanawake wenzao.....??

Hili jambo limeshafanywa kuwa ajenda ya kisiasa kwa baadhi ya watu kwa manufaa yao wanayoyajua wenyewe.......
 
Ni fala tu na yeye ujambazi umerudi kwa kasi nao wanasababisha BAWACHA

Ujambazi umerudi wapi, siameshasema ukiingia dodoma hutoki.

Mwenyewe Mroto anasemaga ukiingia Dodoma hutoki, ngoja tuone kama watatoka😂😂😂
 
Tusubiri kesho tuone ....Ndugai anafuja pesa zetu timua wale covid 19 wapelekewe majina ukweli yale fake na ni yao CDM wao hawayatambui

Majina ya ukweli kutoka wapi?
Kwani uchaguzi mmeutambua tayari?

Kwanza mfute kauli yenu ya kukataa matokeo
 
Majina ya ukweli kutoka wapi?
Kwani uchaguzi mmeutambua tayari?

Kwanza mfute kauli yenu ya kukataa matokeo
Wewe unaona haki anachofanya Ndugai ? Anafuja pesa za walalhoi wenzetu kwa matakwa na faida binafsi ....jinai tupu hapo anasigina katiba
 
Wewe unaona haki anachofanya Ndugai ? Anafuja pesa za walalhoi wenzetu kwa matakwa na faida binafsi ....jinai tupu hapo anasigina katiba

Mawazo ya kimaskini yanashida sana
Ww sehemu ambayo unaona kunafujwa ela ni kwa hao wabunge 19 tu

Ulisoma reports ya CIG lakini?

Tuache wivu usio na msingi, nyie mlisusa na mkagoma sasa now kelele za nini tena?
 
Mawazo ya kimaskini yanashida sana
Ww sehemu ambayo unaona kunafujwa ela ni kwa hao wabunge 19 tu

Ulisoma reports ya CIG lakini?

Tuache wivu usio na msingi, nyie mlisusa na mkagoma sasa now kelele za nini tena?
Wewe ni mtu hatari sana
 
Mawazo ya kimaskini yanashida sana
Ww sehemu ambayo unaona kunafujwa ela ni kwa hao wabunge 19 tu

Ulisoma reports ya CIG lakini?

Tuache wivu usio na msingi, nyie mlisusa na mkagoma sasa now kelele za nini tena?
Mataga bana....sasa Ndugai anachofanya mnaona sawa ??hamuoni aibu ? Dunia nzima inatushangaa aibu aibu aibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…