RPC Muroto atoa onyo kwa BAWACHA, asema wanaotaka kuandamana watakipata wanachokitafuta wakasimulie wenzao huko Geita

Bado Anafikili tupo awamu ya 5 ya kiki na mipasho,
Muda wake wa kusitaafu umefika,Anafikili anaweza kuongezewa muda,
Ni aibu Sana kutoa vitisho kwa wanawake Tena hawana hata kipande Cha fimbo,nani alimwambia kuandamana ni kosa?
 
Kati ya ma RPC ambao sija wahi kuwa kubali ni huyu mzee.
Sijui ali pataje hii nafasi.
Zaidi ya mabavu hana chochote.
Halafu taarifa zilizopo ksdanganya umri wake. Alitakiwa awe smestaafu miaka minne iliyo pita.
Sasa kama yeye kadanganya umri, ina kuwaje ana simamia sheria?
 
Sijui kwanini hawa watawala wa jeshi la polisi wanaona sifa kupiga watu. Huyu mzee atokomee mbali huko
 

Huyu Muroto si mtu safi sna.
Fuatilieni kwa nini aliondolewa kituo cha Wazo Hill akiwa OCD.
 
Kwanza kadanganya umri. Kama Kayafa angekuwa fair kwenye ile issue ya Vyeti fake huyu tungekuta ameshajifia miaka mingi kwa stress na dhiki.
 
Anasema asiyefunzwa na *****. Atafunzwa na polisi
 
Huyu bwana sasa hivi amejikita zaidi kwenye scrub na mikorogo soon atakuwa Pepsi-mirinda
 
lakini si kawatajia vifungu vya sheria kabisa ???

kosa ni lipi hapo ?
kufuata sheria ?

nyie mlidhani kisa Magufuli kaondoka mumefika Mlima Kitonga mnaseleleka tu na fujo zenu Nchi hii ?

huyu jamaa nampemdaga bure hua hakopeshi

asiefunzwa na ***** atafunzwa na Muroto 🤣🤸‍♀️
 
Aache kutisha watu huyo, Utawala wa kizalimu ulishaisha, hizi ni zama za uwazi.
 
Bwashee mwambie mbwa koko kuwa boss saivi sio yule asije akapima kina cha maji.
Mjaribu huyo mbwa koko uone tamu yake.
Utaratibu upo na unajulikana.
Umesahau kuwa hata huyo boss unayejidaia naye ni mwana ccm
 
RPC WA Dodoma bado ana mawazo mgando ya kizamani kuwa kila tatizo litatuliwa kwa kutumia nguvu. Ni kama mtu alieshika nyundo ambapo anaona kila tatizo ni msumari hivyo yeye anawaza kupigilia tu....
Kazi ya silaha ni nini sasa, si wangefuata tu utaratibu mkuu
 
Tusubiri kesho tuone ....Ndugai anafuja pesa zetu timua wale covid 19 wapelekewe majina ukweli yale fake na ni yao CDM wao hawayatambui
Wapeleke majina yapi? haukumbuki kuwa CHADEMA walisema hawahitaji nafasi hizo na hawatambui matokeo yote ya uchaguzi. ninachokishangaa sasa baada ya matamshi hayo wenzao wakatumia hiyo fulsa kuingia Bungeni wakasema wamewafukuza uanachama na kwa sasa hivi hao akina H.Mdee sio wanachama wa CHADEMA tena sasa nashangaa hizi kelele za hawa BAWACHA zinatoka wapi kwa watu ambao sio wanachama wao?
 
Habar zenu ndugu zangu, kama heading inavyojieleza hapo juu. Dada yetu mpendwa na mwana JF mwenzetu Erythrocyte njoo utujulishe mlipofikia. Tanzania moja uhasama hauna nafasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…