Kuna kitu hapaKama Sabaya, Bashite na Gekul wote walichomolewa kwenye zile kashfa zao, basi mimi ninaamini hili limetengenezwa kimkakati na hata Yahaya alitaarifiwa kabla au hata kushirikishwa
Kingine, kumbuka huyo bint tayari kuna bodaboda anatumikia miaka 30 jela kwa kutembea naye akiwa mwanafunzi. Ushahidi uliotumika si mbegu wala mashahidi, bali demu alipimwa na kukutwa siyo bikiraKuna kitu hapa
Huu mjadala utakuwa upo kimkakati Ili kufifisha mambo fulani
Technically huwezi kusema mtu kaharibu , mfano shahidi anakwambia hakumbuki utamlazimisha kukumbuka?Ni kosa kujaribu kuharibu ushahidi kwa makusudi endapo inafahamika hivyo.
Kama alishtak mwenyewe iweje afute kapewa nn au katishiwa nn? Tuanzie hapo. Au alilalamika mwingine? Tunasubiri game. DabyLazima katishwa huyo kama ni mwoga kwa nini aliexpose hiyo kitu si angebaki Kimya tu?
JE, DNA 🧬 itaonyesha kitendo kilicho fanyika kilihusisha kulawiti??Haina utofauti wowote! Jiulize kwanini gari ya Dr. Nawanda imezuiliwa Polisi. Wakichukua madoa hapo kwenye siti DNA itawaumbua live!
Ila JF kuna vituko sana 😃Kwahy binti anataka kufuta kesi 😂
Unanionea bure mkuu. Angalia kwanini nilijibu kuwa atasema anatumia sex toys. Nili comment hivyo kujibu hoja ya kuficja ushahidi, kwamba akipimwa na kukutwa amewahi kuingilia kinyume cha maumbile atatakiwa kumtaja aliyemuingilia na akijaribu kuficha basi atashitakiwa kwa kosa la kuficha ushahidi, ndipo nikasema anaweza akasingizia kuwa huwa anajiingiza sexy toy. Sasa hapo kuna shida gani au inapingana vipi na wao kuwa wapenzi?Ila wewe hujui hata unaandika nini
Wewe si ulisema atasema kuwa alitumia sex toy kujiingilia mtakoni,tena umebadilisha kuwa walikuwa wapenzi,msimamo wako ni upi?
Hapana mkuu sheria haipo hivyo ,,Akiharibu kesi naye si atakuwa na kesi ya kutoa taarifa za uwongo polisi au pia kosa la kuruhusu kulawitiwa maana kapimwa kakutwa kweli kaingiliwa kinyume cha maumbile, kibao kitamgeukia in either way itakuwa funzo kwa mashahidi wengine wanaonunuliwa na watuhumiwa.
Hiyo siyo kazi ya mahakama ,swala lililopelekwa mahakamani ni kuthibitisha kama rc kalawiti ,wakishindwa kuthibitisha hilo basi hakuna kesi biashara imeisha, kwahiyo unataka tukamate watu wote tuwapime au? Mbona kina noel walikamatwa na polisi hadi leo wameshindwa kuwapeleka mahakamani? Sheria hazitaki hisia mkuu you have to prove beyond reasonable doubt ya hicho unachosemaKama daktari alithibitisha alilawitiwa, na kwa kuwa ulawiti ni jinai, ajiandae kwenda jela asipomtaja huyo aliyemlawiti.
Pona yake, atoe ushirikiano kwa vyombo vya dola na ushahidi wake uwe aliingiliwa bila ridhaa yake maana ulawiti hauna cha kukubaliana.
Duuuuuuu!Kipi kitu na kumbula huyo bint tayari kuna bodaboda anatumikia miaka 30 jela kwa kutembea naye akiwa mwanafunzi. Ushahidi uliotumika si mbegu wala mashahidi, bali demu alipimwa na kukutwa siyo bikira
Natamani sana watu wangekisoma na kukielewa kipengele hiki..just hiki tuhabari kwamba analiwa tigo siyo swala lililotupeleka mahakamani hizo ni starehe za watu
Lililotupeleka mahakamani ni kutjibitisha kama rc alikula tigo ya shahidi namba moja hizo ngonjera nyingine siyo kazi ya mahakama
Vichongeo vitakua vinatumiwa kwa wa JINSIA zoteUnadhani kwanini Chawa ni Wengi?!!
Jamaa yupo nyuma ya nondo.Duuuuuuu!
Kukutwa si bikira tu tayari 30yrs!!!
DNA imethibitisha ni Dr Nawanda.Hiyo siyo kazi ya mahakama ,swala lililopelekwa mahakamani ni kuthibitisha kama rc kalawiti ,wakishindwa kuthibitisha hilo basi hakuna kesi biashara imeisha, kwahiyo unataka tukamate watu wote tuwapime au? Mbona kina noel walikamatwa na polisi hadi leo wameshindwa kuwapeleka mahakamani? Sheria hazitaki hisia mkuu you have to prove beyond reasonable doubt ya hicho unachosema
Na jamhuri ndio mwenye jukumu la kuthibitisha sio mtuhumiwa
Dr inaelekea Ana addiction na misambwanda,itakuwa ashawafunyua sana mitaroDNA imethibitisha ni Dr Nawanda.
Dna haiwezi kuthibitisha kama alimlawiti dna inathibitisha kama waligusana na kadhalika ndio maana ni nguo zake zilichukuliwa kupimwa, sasa kama alikuwa demu wake kuna kosa gani na mtu sio under ageDNA imethibitisha ni Dr Nawanda.
Daktari wa serikali tayari amethibitisha kulikuwa na ulawiti.JE, DNA 🧬 itaonyesha kitendo kilicho fanyika kilihusisha kulawiti??
Kama yes,DNA zao wote wawili zilipatikana ktk gari,ita dhihirisha binti alikuwa na jamaa ktk gari, yes. But je, alifanywa kawaida? Je, kuna beyond doubts kwamba ktk ufanyaji huo jamaaa alilawit ? What if alikuja kulawitiwa baadae na mtu mwingine??
Sheria hazitaki hisia zinataka uthibitisho bila ya kuacha chembe ya shakaJinai ni jinai.
RC analo.
Kakosa shangazi aende kuharibu wanafunzi??
Piga pini haya