RPC Mutafungwa: Mtu Binafsi hawezi kufuta Kesi ya Jinai kwa Sababu Mshtaki ni Jamhuri yeye anakuwa shahidi tu!

RPC Mutafungwa: Mtu Binafsi hawezi kufuta Kesi ya Jinai kwa Sababu Mshtaki ni Jamhuri yeye anakuwa shahidi tu!

Jinai ni jinai.

RC analo.

Kakosa shangazi aende kuharibu wanafunzi??
Piga pini haya
 
Haina utofauti wowote! Jiulize kwanini gari ya Dr. Nawanda imezuiliwa Polisi. Wakichukua madoa hapo kwenye siti DNA itawaumbua live!
JE, DNA 🧬 itaonyesha kitendo kilicho fanyika kilihusisha kulawiti??
Kama yes,DNA zao wote wawili zilipatikana ktk gari,ita dhihirisha binti alikuwa na jamaa ktk gari, yes. But je, alifanywa kawaida? Je, kuna beyond doubts kwamba ktk ufanyaji huo jamaaa alilawit ? What if alikuja kulawitiwa baadae na mtu mwingine??
 
Hoja kubwa ya watu wanaomsakama huyo binti ni kufanya ‘character assassination’ and questioning her integrity.

Piga picha dada yako au mtoto wako yupo kwenye masomo ndio katendewa hivyo, kaenda ku-report polisi; halafu watu wanapambana haki yake ipokwe.
 
Ila wewe hujui hata unaandika nini

Wewe si ulisema atasema kuwa alitumia sex toy kujiingilia mtakoni,tena umebadilisha kuwa walikuwa wapenzi,msimamo wako ni upi?
Unanionea bure mkuu. Angalia kwanini nilijibu kuwa atasema anatumia sex toys. Nili comment hivyo kujibu hoja ya kuficja ushahidi, kwamba akipimwa na kukutwa amewahi kuingilia kinyume cha maumbile atatakiwa kumtaja aliyemuingilia na akijaribu kuficha basi atashitakiwa kwa kosa la kuficha ushahidi, ndipo nikasema anaweza akasingizia kuwa huwa anajiingiza sexy toy. Sasa hapo kuna shida gani au inapingana vipi na wao kuwa wapenzi?
Kumbuka, kesi iliyopo hapo siyo kama wana mahusiano au lah, bali ni kama alimuingilia kinyume cha maumbile
 
Akiharibu kesi naye si atakuwa na kesi ya kutoa taarifa za uwongo polisi au pia kosa la kuruhusu kulawitiwa maana kapimwa kakutwa kweli kaingiliwa kinyume cha maumbile, kibao kitamgeukia in either way itakuwa funzo kwa mashahidi wengine wanaonunuliwa na watuhumiwa.
Hapana mkuu sheria haipo hivyo ,,
Mahakamani tunajua kama kweli tukio limetokea
Tunaenda mahakamani kuthivitisha kama hilo tukio mtuhumiwa kama kalitenda ,hatuendi kujiuliza kama tukio limetokea hiyo siyo kazi ya mahakama, ndio maana mauaji ya msuya tulivyosikia mashahidi tunaojua sheria tulijua hakuna kesi
Kwa hii kesi kama shahidi namba moja hayupo tayari ataiharibu kesi na jamaa mchana kweupe anaachiwa , habari kwamba analiwa tigo siyo swala lililotupeleka mahakamani hizo ni starehe za watu
Lililotupeleka mahakamani ni kutjibitisha kama rc alikula tigo ya shahidi namba moja hizo ngonjera nyingine siyo kazi ya mahakama
 
Kama daktari alithibitisha alilawitiwa, na kwa kuwa ulawiti ni jinai, ajiandae kwenda jela asipomtaja huyo aliyemlawiti.

Pona yake, atoe ushirikiano kwa vyombo vya dola na ushahidi wake uwe aliingiliwa bila ridhaa yake maana ulawiti hauna cha kukubaliana.
Hiyo siyo kazi ya mahakama ,swala lililopelekwa mahakamani ni kuthibitisha kama rc kalawiti ,wakishindwa kuthibitisha hilo basi hakuna kesi biashara imeisha, kwahiyo unataka tukamate watu wote tuwapime au? Mbona kina noel walikamatwa na polisi hadi leo wameshindwa kuwapeleka mahakamani? Sheria hazitaki hisia mkuu you have to prove beyond reasonable doubt ya hicho unachosema
Na jamhuri ndio mwenye jukumu la kuthibitisha sio mtuhumiwa
 
habari kwamba analiwa tigo siyo swala lililotupeleka mahakamani hizo ni starehe za watu
Lililotupeleka mahakamani ni kutjibitisha kama rc alikula tigo ya shahidi namba moja hizo ngonjera nyingine siyo kazi ya mahakama
Natamani sana watu wangekisoma na kukielewa kipengele hiki..just hiki tu
 
Hiyo siyo kazi ya mahakama ,swala lililopelekwa mahakamani ni kuthibitisha kama rc kalawiti ,wakishindwa kuthibitisha hilo basi hakuna kesi biashara imeisha, kwahiyo unataka tukamate watu wote tuwapime au? Mbona kina noel walikamatwa na polisi hadi leo wameshindwa kuwapeleka mahakamani? Sheria hazitaki hisia mkuu you have to prove beyond reasonable doubt ya hicho unachosema
Na jamhuri ndio mwenye jukumu la kuthibitisha sio mtuhumiwa
DNA imethibitisha ni Dr Nawanda.
 
JE, DNA 🧬 itaonyesha kitendo kilicho fanyika kilihusisha kulawiti??
Kama yes,DNA zao wote wawili zilipatikana ktk gari,ita dhihirisha binti alikuwa na jamaa ktk gari, yes. But je, alifanywa kawaida? Je, kuna beyond doubts kwamba ktk ufanyaji huo jamaaa alilawit ? What if alikuja kulawitiwa baadae na mtu mwingine??
Daktari wa serikali tayari amethibitisha kulikuwa na ulawiti.
 
Back
Top Bottom