Zouzoutz
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 1,883
- 2,732
Kuna kitu hapaKama Sabaya, Bashite na Gekul wote walichomolewa kwenye zile kashfa zao, basi mimi ninaamini hili limetengenezwa kimkakati na hata Yahaya alitaarifiwa kabla au hata kushirikishwa
Huu mjadala utakuwa upo kimkakati Ili kufifisha mambo fulani