20PROFF
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 8,186
- 7,184
Like amelawitiwa na huyo RC? Kama ni hivo ni ngumu kuchomoka.Daktari wa serikali tayari amethibitisha kulikuwa na ulawiti.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Like amelawitiwa na huyo RC? Kama ni hivo ni ngumu kuchomoka.Daktari wa serikali tayari amethibitisha kulikuwa na ulawiti.
Sawa kulikuwa na ulawiti ,ila mahakamani tunatakiwa kuthibitisha kama rc ndio aliyelawiti? Hapo ndio pagumuDaktari wa serikali tayari amethibitisha kulikuwa na ulawiti.
Pia hata victim akikataa kuendelea na kesi kama jinai imetendeka huwa serikali haiachani nalo inaendelea kudeal na mtuhumiwa.Sheria hazitaki hisia zinataka uthibitisho bila ya kuacha chembe ya shaka
Ushahidi ni connection of events ndugu! Daktari amethibitisha kitu chenye ncha butu kiliingia maumbile ya nyuma ya huyo biti.Dna haiwezi kuthibitisha kama alimlawiti dna inathibitisha kama waligusana na kadhalika ndio maana ni nguo zake zilichukuliwa kupimwa, sasa kama alikuwa demu wake kuna kosa gani na mtu sio under age
Sasa shahidi namba moja ambaye ni mtendwa kwenye kesi za ngono ni muhimu , akipata wakili mchana kweupe anachomokaPia hata victim akikataa kuendelea na kesi kama jinai imetendeka huwa serikali haiachani nalo inaendelea kudeal na mtuhumiwa.
DNA itathibitisha! Kitu chenye ncha butu (proved) kiliingia sehemu ta haja kubwa ya binti; DNA za Dr. Nawanda zimepatikana kwenye mwili na mavazi ya binti; CCTV zimenasa binti akiwa kwenye gari ya Dr! Hiyo ngoma sio ya kitoto!Sawa kulikuwa na ulawiti ,ila mahakamani tunatakiwa kuthibitisha kama rc ndio aliyelawiti? Hapo ndio pagumu
Hawezi kufungwa huyo malaya wala huyo RC wa zamani. Ingekuwa kila anayelawilitiwa amafungwa jela zingejaa. Huko huko jela watu wanalawitiana tena wengine wanabakwa kqbisa umeishasikia wanafungwa? Wakinamama wengi wakienda kujifungua mahospitali hudhihirika kuwa wamekuwa wakilawitiwa je umewahi kusikia wamefungwa?Kama daktari alithibitisha alilawitiwa, na kwa kuwa ulawiti ni jinai, ajiandae kwenda jela asipomtaja huyo aliyemlawiti.
Pona yake, atoe ushirikiano kwa vyombo vya dola na ushahidi wake uwe aliingiliwa bila ridhaa yake maana ulawiti hauna cha kukubaliana.
Mzee wa degree nyingi ndio zake.Nasikia mijitu mingi ya Chama ChaMambusi iko hivi kama bw. Yahya!
Dah! AiseeKwahy binti anataka kufuta kesi 😂 Kwahy kijambio hakikupata dhuruba
I’m so interested na hicho kitu chenye ncha butu kuingia sehemu ya haja kubwa ya bint.DNA itathibitisha! Kitu chenye ncha butu (proved) kiliingia sehemu ta haja kubwa ya binti; DNA za Dr. Nawanda zimepatikana kwenye mwili na mavazi ya binti; CCTV zimenasa binti akiwa kwenye gari ya Dr! Hiyo ngoma sio ya kitoto!
Ni kweli,haiwezekani mwanaume uliye kamili muda wote unajaza server za JF kusifia mwanaume mwenzako tena kwa hoja nyepesi na za kijinga,huo ni umama kabisa.Chawa wengi wanagawa kijambio?! Bwashe umetutisha
Wewe ulikuwepo? Kuliwa ameliwa,ila hoja kuwa ilikuwa project ya kumuangamiza Yahya hiyo inawezekana kabisa kwani hao wabaya wake walijua weakness yake ya kupenda ngono ndiyo wakamnasa hapo.Binti alitumwa kumwingiza 18 RC. Huu ni mtego na wala hakuliwa kule
Kosa ni kubaka na kulawiti.Dna haiwezi kuthibitisha kama alimlawiti dna inathibitisha kama waligusana na kadhalika ndio maana ni nguo zake zilichukuliwa kupimwa, sasa kama alikuwa demu wake kuna kosa gani na mtu sio under age
Nimekupata chifu.Ni kweli,haiwezekani mwanaume uliye kamili muda wote unajaza server za JF kusifia mwanaume mwenzako tena kwa hoja nyepesi na za kijinga,huo ni umama kabisa.
Tumsubiri tu muda, kila jambo hopefully litawekwa waziWewe ulikuwepo? Kuliwa ameliwa,ila hoja kuwa ilikuwa project ya kumuangamiza Yahya hiyo inawezekana kabisa kwani hao wabaya wake walijua weakness yake ya kupenda ngono ndiyo wakamnasa hapo.
Unambaka mtu mzima aliyekuja kugongwa kwa kutoka kilomita 50 chuoni hadi kwenye gari lako na anajua alichokuwa anakuja kufanywa, acheni hizo ,na alishagongwa januari huko na kaja tena miezi sita baadae huo ubakaji upo wapi?Kosa ni kubaka na kulawiti.
Sijafuatilia taarifa vizuri.Ina maana kipimo cha baada ya wiki mbili kitakuwa kinatafuta wazungu kwenye kijambio? Hivi kwa kuzisoma hizo taarifa walizotoa Polisi hamuoni kabisa kuwa hilo swala limeshawekewa mazingira ya kulitupilia mbali kwa ushahidi dhidi ya Yahaya kukosekana?
DNA kukutwa kwenye nguo au gari siyo shida sababu wawili hao ni wapenzi. Pia kukuta kwamba ni kweli bint aliingiliwa kinyume nayo siyo shida, tatizo ni je, aliingiliwa na nani? Sababu vipimo havikufanywa wakati ule, bali kama vimefanyika basi ni jana, yaani nearly 2 weeks later.Sijafuatilia taarifa vizuri.
Siyo kwamba alitoa taarifa mapema akapimwa ndani 72hrs?
Kuna sehemu nimesoma nguo zake za ndani zilichukuliwa ushahidi. Kumbuka gauni la Monica Lewnsky wazungu wa Clinton walikutwa baada ya miaka mingi. Pia nguo za Stormy Daniels wazungu wa Trump.