RPC Mutafungwa: Mtu Binafsi hawezi kufuta Kesi ya Jinai kwa Sababu Mshtaki ni Jamhuri yeye anakuwa shahidi tu!

RPC Mutafungwa: Mtu Binafsi hawezi kufuta Kesi ya Jinai kwa Sababu Mshtaki ni Jamhuri yeye anakuwa shahidi tu!

Dna haiwezi kuthibitisha kama alimlawiti dna inathibitisha kama waligusana na kadhalika ndio maana ni nguo zake zilichukuliwa kupimwa, sasa kama alikuwa demu wake kuna kosa gani na mtu sio under age
Ushahidi ni connection of events ndugu! Daktari amethibitisha kitu chenye ncha butu kiliingia maumbile ya nyuma ya huyo biti.
 
Sawa kulikuwa na ulawiti ,ila mahakamani tunatakiwa kuthibitisha kama rc ndio aliyelawiti? Hapo ndio pagumu
DNA itathibitisha! Kitu chenye ncha butu (proved) kiliingia sehemu ta haja kubwa ya binti; DNA za Dr. Nawanda zimepatikana kwenye mwili na mavazi ya binti; CCTV zimenasa binti akiwa kwenye gari ya Dr! Hiyo ngoma sio ya kitoto!
 
Hawez
Kama daktari alithibitisha alilawitiwa, na kwa kuwa ulawiti ni jinai, ajiandae kwenda jela asipomtaja huyo aliyemlawiti.

Pona yake, atoe ushirikiano kwa vyombo vya dola na ushahidi wake uwe aliingiliwa bila ridhaa yake maana ulawiti hauna cha kukubaliana.
Hawezi kufungwa huyo malaya wala huyo RC wa zamani. Ingekuwa kila anayelawilitiwa amafungwa jela zingejaa. Huko huko jela watu wanalawitiana tena wengine wanabakwa kqbisa umeishasikia wanafungwa? Wakinamama wengi wakienda kujifungua mahospitali hudhihirika kuwa wamekuwa wakilawitiwa je umewahi kusikia wamefungwa?
 
DNA itathibitisha! Kitu chenye ncha butu (proved) kiliingia sehemu ta haja kubwa ya binti; DNA za Dr. Nawanda zimepatikana kwenye mwili na mavazi ya binti; CCTV zimenasa binti akiwa kwenye gari ya Dr! Hiyo ngoma sio ya kitoto!
I’m so interested na hicho kitu chenye ncha butu kuingia sehemu ya haja kubwa ya bint.
Mkuu, naomba kufahamu, je sehemu hiyo ya haja kubwa haikukutwa na DNA? What proves kwamba kilikuwa ni cha Dr. yahaya, maana issue si ubishani wa mahusiano yao, maana Mahusiano kati yao yapo so DNA kukutwa kwenye gari ni kawaida. Issue ni je, nani aliyemuingiizia kitu chenye ncha butu?
 
Dna haiwezi kuthibitisha kama alimlawiti dna inathibitisha kama waligusana na kadhalika ndio maana ni nguo zake zilichukuliwa kupimwa, sasa kama alikuwa demu wake kuna kosa gani na mtu sio under age
Kosa ni kubaka na kulawiti.
 
Kosa ni kubaka na kulawiti.
Unambaka mtu mzima aliyekuja kugongwa kwa kutoka kilomita 50 chuoni hadi kwenye gari lako na anajua alichokuwa anakuja kufanywa, acheni hizo ,na alishagongwa januari huko na kaja tena miezi sita baadae huo ubakaji upo wapi?
Kalawitiwa na watu wengine siyo lazima rc kwani anatembea na rc tu , toeni hisia kwenye mambo ya kuthibitisha, ndio maana zombe na mama msuya walitoka kiulaini haya mambo hayataki hisia, binti atulie asome aache kufanya biashara ya mwili wake
 
Ina maana kipimo cha baada ya wiki mbili kitakuwa kinatafuta wazungu kwenye kijambio? Hivi kwa kuzisoma hizo taarifa walizotoa Polisi hamuoni kabisa kuwa hilo swala limeshawekewa mazingira ya kulitupilia mbali kwa ushahidi dhidi ya Yahaya kukosekana?
Sijafuatilia taarifa vizuri.
Siyo kwamba alitoa taarifa mapema akapimwa ndani 72hrs?
Kuna sehemu nimesoma nguo zake za ndani zilichukuliwa ushahidi. Kumbuka gauni la Monica Lewnsky wazungu wa Clinton walikutwa baada ya miaka mingi. Pia nguo za Stormy Daniels wazungu wa Trump.
 
DNA kukutwa kwenye nguo au gari siyo shida sababu wawili hao ni wapenzi. Pia kukuta kwamba ni kweli bint aliingiliwa kinyume nayo siyo shida, tatizo ni je, aliingiliwa na nani? Sababu vipimo havikufanywa wakati ule, bali kama vimefanyika basi ni jana, yaani nearly 2 weeks later.
Hivyo ushahidi wa uwepo wa DNA za bint kwenye nguo au gari siyo issue sababu Kinachotafitwa siyo uthibisho kama wawili hawa wana mahusiano au wamewahi kiwa pamoja eneo lile, bali ni kinachotafutwa ni kama Nawanda alimuingilia kinyume na maumbile.
 
Back
Top Bottom