Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,010
- 6,766
Ni pale vigezo vya ukatili na kuvunja katiba, sheria na haki vinapotumika kumpa askari cheo matokeo yake ndip hayo.
Acha urongo kipindi cha mwendazake huyu aliwekwa benchi.MA RPC wengi wa mwendazake walichaguliwa kutokana na historia yao ya ukatili , ila watavuna wanachopanda