RPC Mwanza: Heche na Msigwa walitakiwa kutoa taarifa kwangu kuwa wanaingia Mwanza na watafanya shughuli zao hapa

RPC Mwanza: Heche na Msigwa walitakiwa kutoa taarifa kwangu kuwa wanaingia Mwanza na watafanya shughuli zao hapa

Huyu rpc Ni mzima kweli kichwani. Kila mwanasiasa anayeingia Mwanza lazima amjurishe? Mbona anajipa kazi ambazo hazimuhusu.
 
Tz kuna vitu vingi vya kuifanya siku yako kuwa murua kabisa.

Tungekuwa tunatumia kiingereza hii kauli ingekaa vizuri sana🤣🤣
 
Kuwatumikia wananchi katika kutatua kero zao kuleta mshikamano Amani na ustawi wa jamii husika bila kuleta chokochoko unaa udini au ukabila na mwisho ajitolee vyote alivonavyo ikiwezana hata kulala njaa ili jamii yake iwe salama
Kero za wananchi zinatatuliwa na serikali kwa kuwawezesha watendaji wake kuzitatua mwanasiasa hana uwezo huo, yeye mtaji wake ni maneno tuu kwa hiyo kuongea ndiyo ajira yao
 
RPC-Mwanza, SACP Ramadhan Ngh'anzi anasema John Heche na Peer Msigwa kuwa walipaswa kutoa taarifa kwake kuwa wanaingia Mwanza na watafanya shughuli zao hapo. RPC hajui lolote kuhusu "uhuru wa mtu kwenda atakako" (ib.17) katiba ya JMT, sheria ya 1984, Na. 15?

Au Mwanza siyo Tanzania?

Bwana Ngh'anzi, RPC Mwanza;

1. Hata kama ndivyo ilivyo, ni kwanini sasa iwe kwa Heche na Msigwa tu ndiyo wakupe wewe taarifa? Kwa sababu mimi hapa kuanzia juzi hadi jana nilikuja Mwanza City toka Shinyanga kwa shughuli zangu. Nashangaa hujaniita ofisini kwako kunidai nikupe taarifa ya kuingia mkoa wa Mwanza...!!

2. By the way, ina maana watu wote ambao huingia na kutoka Mwanza yote kuanzia Magu, Nkwimba, Sengerema, Ukerewe, huwa wanakupa taarifa wewe RPC..?

3. Na wakikupa mwisho wa siku ili iweje...?

4. Na mambo yakiwa hivi, si wewe RPC utakuwa mtu wa kupokea wageni tu kila dakika usiku na mchana badala ya kufanya kazi zako za kila siku kuhudumia wananchi...?

NB:
å Ni wazi wewe RPC huijui katiba na sheria za nchi ambazo ndani yake, zipo sheria za kulinda haki za kiraia..

å Inashangaza kuwa wewe kama msimamizi wa sheria za nchi na za kiraia unakuwa hujui haya na badala yake kwa ujinga wako huu unashiriki kukiuka sheria na haki za raia unazopaswa kuzilinda kwa nguvu zote...

å Wewe RPC Ngh'anzi kuanzia leo hufai kuwa RPC maana unaweza kuwa chanzo cha machafuko ndani ya mkoa wa Mwanza kwa sababu ya ujinga wako wa kutojua katiba na sheria...!!
 
Kero za wananchi zinatatuliwa na serikali kwa kuwawezesha watendaji wake kuzitatua mwanasiasa hana uwezo huo, yeye mtaji wake ni maneno tuu kwa hiyo kuongea ndiyo ajira yao
Kwan hao wanasiasa c ndio wanapanga bajeti hko bungeni
 
RPC-Mwanza, SACP Ramadhan Ngh'anzi anasema John Heche na Peer Msigwa kuwa walipaswa kutoa taarifa kwake kuwa wanaingia Mwanza na watafanya shughuli zao hapo. RPC hajui lolote kuhusu "uhuru wa mtu kwenda atakako" (ib.17) katiba ya JMT, sheria ya 1984, Na. 15?

Au Mwanza siyo Tanzania?
As if jamaa lina Jamhuri yake....kweli mwendazake kaharibu sana akili za watu.
 
RPC-Mwanza, SACP Ramadhan Ngh'anzi anasema John Heche na Peer Msigwa kuwa walipaswa kutoa taarifa kwake kuwa wanaingia Mwanza na watafanya shughuli zao hapo. RPC hajui lolote kuhusu "uhuru wa mtu kwenda atakako" (ib.17) katiba ya JMT, sheria ya 1984, Na. 15?

Au Mwanza siyo Tanzania?
Rpc nae mla urojo kma mama
 
Back
Top Bottom