RPC Mwanza: Heche na Msigwa walitakiwa kutoa taarifa kwangu kuwa wanaingia Mwanza na watafanya shughuli zao hapa

RPC Mwanza: Heche na Msigwa walitakiwa kutoa taarifa kwangu kuwa wanaingia Mwanza na watafanya shughuli zao hapa

Binafsi naona RPC yuko sawa kabisa tufanye kazi sio makongamano yasiyo na tija kwa taifa letu
 
Raia wa Tanzania wana uhuru wa kwenda popote ndani ya nchi yao na kufanya shughuli yoyote isiyovunja sheria.

RPC anatakiwa aeleze wamevunja sheria ipi na siyo kutokutoa taarifa kwake.
Makonda naye alishawahi toa masaa kadhaa akina zito wawe wamerudi Bungeni na wasionekane ENEO lolote la Dar ..!!!
 
hawa ndio viongozi wanaotimiza wajibu wao bila ya kufuata Katiba,tukipiga makelele katiba ifanyiwe ukarabati ndio muelewe kuna watu hawaielewi Katiba ni nini ? CCM hoiii .(Maisha Magumu )
 
RPC-Mwanza, SACP Ramadhan Ngh'anzi anasema John Heche na Peer Msigwa kuwa walipaswa kutoa taarifa kwake kuwa wanaingia Mwanza na watafanya shughuli zao hapo. RPC hajui lolote kuhusu "uhuru wa mtu kwenda atakako" (ib.17) katiba ya JMT, sheria ya 1984, Na. 15?

Au Mwanza siyo Tanzania?
Nawashukuru sana Polisi wanatusaidia kuisagia kunguni CCM na Serikali yake. Wakikuta wapinzani wawapige ikiwezekana wawaue kabisa, Serikali ya CCM inawapa kinga kufanya hivyo
 
Naona RPC alitaka kupewa taarifa za "ugeni" mapema ili awaandalie wageni wake karamu.
Mabasi ya Mwanza na abiri/ndege huwa wanatoa taarifa kwa RPC.
Hao akina Msigwa na Heche ni maafisa wa Polisi kutoka nje ya himaya yake ili ajue ana maafisa wenzake kikazi.
Huyo anaongoza askari kimkoa kweli?
Assad alisema ukweli tupu.
 
Hatari sana pale RPC anapokuwa hajui haki za raia zilizoainishwa kwenye katiba.

Ndugu RPC Mimi Bujibuji na mwandani wangu Miss Natafuta tutakuja Mwanza wiki ijayo tutafutie hotel Kali Sana. Shughuli za kukutanisha viungo vyetu vya uzazi ndizo zinatuleta huko.

Ha ha ha ha ha.
Yeye amekariri anahisi Heche na Msigwa ni wabunge so wanatakiwa wafanye shughuli zao majimboni. Anatekeleza agizo haramu kikatiba
 
Kwani yeye RPC ni nani? Mungu wa Mwanza? Ameanza kujipa umungu Kama mwendazake
1626600409099.png

Shetani kazini
 
KWA Iyo Tz Uhuru wa raia kusafili popote NDANI ya nchi hii hamna? Serikali ya ccm inachowafanyia watz wenda ni zaidi ya kipindi kile Cha mkoloni mweupe
Chini ya uongozi wa CCM, unaoogopa sana Katiba mpya, sasa haya yameshafika kwetu.
The Pass Laws Act of 1952 required black South Africans over the age of 16 to carry a pass book, known as a dompas, everywhere and at all times.
 
RPC-Mwanza, SACP Ramadhan Ngh'anzi anasema John Heche na Peer Msigwa kuwa walipaswa kutoa taarifa kwake kuwa wanaingia Mwanza na watafanya shughuli zao hapo. RPC hajui lolote kuhusu "uhuru wa mtu kwenda atakako" (ib.17) katiba ya JMT, sheria ya 1984, Na. 15?

Au Mwanza siyo Tanzania?
Aisee daah 🤔🤔🤔
 
Huyu RPC ndio mpuuzi....anadhani atapanda ACP kwa kywa yeye ni Rama ? Mpuuzi
 
Hapa kunamawili
Nikweli RPC alitaka hayo ili kutambua uwepo wa viongozi kitaifa wachama kikubwa

Au RAIS kamkataa hakutoa agizo LA kuzuia kongamano ,mana isije ikawa kama mkapa alivodanganywa kuhusu chakechake akiwa kwenye mkutano ughibuni alijuta mpakack anakufa sasa Tue makini
 
Back
Top Bottom