MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 10,115
- 15,057
Hizo taarifa kwa RPC ni kwa wanasiasa tu au mtu yoyote.... Maana namna hii unaweza kuzolewa, kisa "hujamwambia" RPC umeenda kufanya nini mkoani "kwake"
Wasimamia uvunjifu wa Katiba katika ubora wao,ila wajue historian itawahukumu, tena sii polepole ila vikali tena Sana.RPC mpuuzi sana ,yaani anataka kusema ni lazima uombe ruhusa kwa ma RPCs ukitaka kwenda mkoa wowote ndani ya TZ?
Ndipo taifa lilipofikishwa na wajionao raia daraja la kwanza.Some how I missed the point, they better introduce different grades of citizenship. 1st grade if you are a CCM member you are entitled to full rights.
2nd grade if you are a member of opposition party you get limited rights.
Keyboard warriors. Haki haitafutwi kwenye mitandao mkuu.Hawana magereza wala mahabusu zenye uwezo wa kutu weka humo wote. Hii ni silaha yetu kubwa zaidi.
Hivyo hawana uwezo wa kutuzuia kufanya lolote.
UOGA UNAWASUMBUWA MNO HAWA NZI WA KIJANI.RPC-Mwanza, SACP Ramadhan Ngh'anzi anasema John Heche na Peer Msigwa kuwa walipaswa kutoa taarifa kwake kuwa wanaingia Mwanza na watafanya shughuli zao hapo. RPC hajui lolote kuhusu "uhuru wa mtu kwenda atakako" (ib.17) katiba ya JMT, sheria ya 1984, Na. 15?
Au Mwanza siyo Tanzania?
😁😁😁😁sawa bwashee,MA RPC wengi wa mwendazake walichaguliwa kutokana na historia yao ya ukatili, ila watavuna wanachopanda
KWA Iyo Tz Uhuru wa raia kusafili popote NDANI ya nchi hii hamna? Serikali ya ccm inachowafanyia watz wenda ni zaidi ya kipindi kile Cha mkoloni mweupeRPC-Mwanza, SACP Ramadhan Ngh'anzi anasema John Heche na Peer Msigwa kuwa walipaswa kutoa taarifa kwake kuwa wanaingia Mwanza na watafanya shughuli zao hapo. RPC hajui lolote kuhusu "uhuru wa mtu kwenda atakako" (ib.17) katiba ya JMT, sheria ya 1984, Na. 15?
Au Mwanza siyo Tanzania?
Kumbe na mm Leo nikitaka kwenda Mwanza naripoti kwanza kwa RPC?RPC-Mwanza, SACP Ramadhan Ngh'anzi anasema John Heche na Peer Msigwa kuwa walipaswa kutoa taarifa kwake kuwa wanaingia Mwanza na watafanya shughuli zao hapo. RPC hajui lolote kuhusu "uhuru wa mtu kwenda atakako" (ib.17) katiba ya JMT, sheria ya 1984, Na. 15?
Au Mwanza siyo Tanzania?