Mpumbavu sana huyo fala mkuu wa polisi, Tanzania tuna uhuru wa kwenda popote pale ndani ya nchi yetu.RPC-Mwanza, SACP Ramadhan Ngh'anzi anasema John Heche na Peer Msigwa kuwa walipaswa kutoa taarifa kwake kuwa wanaingia Mwanza na watafanya shughuli zao hapo. RPC hajui lolote kuhusu "uhuru wa mtu kwenda atakako" (ib.17) katiba ya JMT, sheria ya 1984, Na. 15?
Au Mwanza siyo Tanzania?
Hapana mwanza ni tanzania ila vichwamaji wa chadema kama heche na msigwa lazima kupata ruksa 😂😂MA RPC wengi wa mwendazake walichaguliwa kutokana na historia yao ya ukatili, ila watavuna wanachopanda
Mwanasiasa kazi yake ni ipi?Binafsi naona RPC yuko sawa kabisa tufanye kazi sio makongamano yasiyo na tija kwa taifa letu
Hawakurudi aliwafanya nini?Makonda naye alishawahi toa masaa kadhaa akina zito wawe wamerudi Bungeni na wasionekane ENEO lolote la Dar ..!!!
Ndo uone jinsi matamko yasiyo na tija yanavyokosa maanaHawakurudi aliwafanya nini?
Mmmmm sidhani hesabia rais ajaye 2026....Kama ni mama ujue ni huruma tu....baada kulipa madai yote yeye mwenyewe....sio rahisi hivyoSabaya kesho anatoka,kaloge tena wewe na mmeo
USSR
Pengine hatua inayofuata ni kupewa vipande.Mpuuzi kweli huyu! Kwa kipengele gani cha Katiba? Siyo tena alipokea maagizo toka kwa Samia?
Hujapanda mimba tu dada ili ulee watoto kila siku mitandaoni tuuui!!MA RPC wengi wa mwendazake walichaguliwa kutokana na historia yao ya ukatili, ila watavuna wanachopanda
sheria kandamiziRPC-Mwanza, SACP Ramadhan Ngh'anzi anasema John Heche na Peer Msigwa kuwa walipaswa kutoa taarifa kwake kuwa wanaingia Mwanza na watafanya shughuli zao hapo. RPC hajui lolote kuhusu "uhuru wa mtu kwenda atakako" (ib.17) katiba ya JMT, sheria ya 1984, Na. 15?
Au Mwanza siyo Tanzania?
Nenda kaoshe wazee wakizungu mkuu. Vipi mbona umechelewa sana?Mpuuzi kweli huyu! Kwa kipengele gani cha Katiba? Siyo tena alipokea maagizo toka kwa Samia?
viongozi wengi si ndio wale wa kubebwa tu ndio maana hata hawajui misingi ya kazi ya kazi zaoPengine hatua inayofuata ni kupewa vipande.
Viongozi na wanachama wote wa CHADEMA na wanaowaunga mkono itabidi wapewe vipande vya kuwatambulisha. Wakisafiri ni lazima wawe na vipande hivyo vinginevyo watatiwa hatiani
Hivi nchi hii tumekuwa na kizazi hiki kipya ambacho hakikujifunza jambo lolote la haki za watu? Mbona imekuwa haraka sana? Historia haifundishwi tena mashuleni kwetu
Wewe hujabebwa?viongozi wengi si ndio wale wa kubebwa tu ndio maana hata hawajui misingi ya kazi ya kazi zao
Some how I missed the point, they better introduce different grades of citizenship. 1st grade if you are a CCM member you are entitled to full rights.
2nd grade if you are a member of opposition party you get limited rights.
AnawashwaRPC-Mwanza, SACP Ramadhan Ngh'anzi anasema John Heche na Peer Msigwa kuwa walipaswa kutoa taarifa kwake kuwa wanaingia Mwanza na watafanya shughuli zao hapo. RPC hajui lolote kuhusu "uhuru wa mtu kwenda atakako" (ib.17) katiba ya JMT, sheria ya 1984, Na. 15?
Au Mwanza siyo Tanzania?
Kuwatumikia wananchi katika kutatua kero zao kuleta mshikamano Amani na ustawi wa jamii husika bila kuleta chokochoko unaa udini au ukabila na mwisho ajitolee vyote alivonavyo ikiwezana hata kulala njaa ili jamii yake iwe salamaMwanasiasa kazi yake ni ipi?