GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kwahiyo ukishawapata ndiyo wataenda kuirudisha pumzi na uhai wa huyo Askari Polisi wenu aliyeuwawa?
Na wala GENTAMYCINE hapa sitetei au sifurahii huko kuuawa kwake na nimesikitika kuuliwa ila nimesikitika zaidi kuona leo hii Jeshi la Polisi Arusha linatumia nguvu kubwa ya Kijeshi katika kuwasaka wauaji walikuwa na uwezo wa kutumia nguvu ndogo tu ya Kidiplomasia yenye hekima, utu na busara katika kuzungumza na wana Ngorongoro kiasi kwamba wasingefikia huku walikofikia sasa.
Tukiwaambia hamna akili hamtaki.