GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Huyu atakuwa mbilikimo tu
Tukiwaambia hamna akili hamtaki ππ umemaliza vizuri mkuuKwahiyo ukishawapata ndiyo wataenda kuirudisha pumzi na uhai wa huyo Askari Polisi wenu aliyeuwawa?
Na wala GENTAMYCINE hapa sitetei au sifurahii huko kuuawa kwake na nimesikitika kuuliwa ila nimesikitika zaidi kuona leo hii Jeshi la Police Arusha linatumia nguvu kubwa ya Kijeshi katika kuwasaka wauwaji walikuwa na Uwezo wa kutumia Nguvu ndogo tu ya Kidiplomasia yenye hekima, utu na busara katika kuzungumza na wana Ngorongoro kiasi kwamba wasingefikia huku walikofikia sasa.
Tukiwaambia hamna akili hamtaki.
Kwahiyo ukishawapata ndiyo wataenda kuirudisha pumzi na uhai wa huyo Askari Polisi wenu aliyeuwawa?
Na wala GENTAMYCINE hapa sitetei au sifurahii huko kuuawa kwake na nimesikitika kuuliwa ila nimesikitika zaidi kuona leo hii Jeshi la Polisi Arusha linatumia nguvu kubwa ya Kijeshi katika kuwasaka wauaji walikuwa na uwezo wa kutumia nguvu ndogo tu ya Kidiplomasia yenye hekima, utu na busara katika kuzungumza na wana Ngorongoro kiasi kwamba wasingefikia huku walikofikia sasa.
Tukiwaambia hamna akili hamtaki.
Naunga hojaMsitari wa mwisho uko njema sana[emoji23]
Kumbe ulikuwa hujui kuwa naishi Kijijini halafu Mimi ndiyo Masikini Mwandamizi na Mtu nisiye na Elimu yoyote JamiiForums nzima?Kumbe mkuu maisha yako yote hujawahi kufika DAR??
Tabia ya Uungwana, Kutoogopa, kutokuwa Wanafiki wala Kutojipendekeza kwa Mtu ndiyo Hulka ya Wazanaki wa Mkoani Mara ambako Poti ( Mwetu ) wangu IGP Sirro anatokea pia.IGP Siro alipokuwa RPC Mwanza alikuwa mtu makini sana ndio maana alipendwa sana Mwanza, alikuwa hakubali kuingiza vijana wake kwenye vurugu zisizokuwa na tija.
Sasa Poti wamsifia Siro,wakati huohuo unalikandia Jeshi lake la Police,au umesahau kua Siro ndiyo IGP!? Na huyo RPC unae msema Siro ndiyo kamteuwa asimamie Mkoa wa Arusha! Sasa hapa ni Nani katufelisha!!??Tabia ya Uungwana, Kutoogopa, kutokuwa Wanafiki wala Kutojipendekeza kwa Mtu ndiyo Hulka ya Wazanaki wa Mkoani Mara ambako Poti ( Mwetu ) wangu IGP Sirro anatokea pia.