Halafu azam hizi game za shirikisho na klabu bingwa ni bure kabisaa huna haja ya kulipiaDah nipo na liDstv tu.
Tukalale sasa unaenda unasinzia kazini bila sababu
Anaogopa lawama. Asije kuchomeshaYaani Bocco Anaukimbia Mpira
Hauna imani na captain fantasticTunategemea Comeback Kupitia Bocco?
Aise kwa namna moja naelewa kwa nini pablo ameenda na 541 formation ili kudhibiti spidi ya tuisila ila ila kimkakati...simba sio counter attacking team. Yaani huoni traps ambazo watapata mpira na kuanzisha shbulizi la kushukiza. Mipira inayoenda kwa bocco ni ya kugombania, erasto pass zake za mbele ni overhit.Kina Kanute pale kati hawaonekani kabisa. At least Sakho anapambana
Mkuu Yanga Ya Sasa Wewe Mwenyewe Umeiona Kabisa Si Ya Kitoto Wala Mchezo.Ebu kuwa mkweli
Hivi mechi hii kwa uionavyo yanga unaona wangeweza kumudu hii hali?
Bado tu MAKOLO wanaendelea kujiita wa kimataifa?Katika kipindi cha kwanza Makolo hawajapiga shuti hata moja katika goli la Barkane
Mipira anayopelekewa sio kabisa mtamlaumu bure tuuHauna imani na captain fantastic
Nyoni ndo kiazi kabisa pale kati, hivi kwanini tunawatunza hawa wazee kwenye club?? Mtu kama Nyoni anafanya nini pale simba, au ndo kuoneana aibu!Kina Kanute pale kati hawaonekani kabisa. At least Sakho anapambana
Mkuu Yanga Ya Sasa Wewe Mwenyewe Umeiona Kabisa Si Ya Kitoto Wala Mchezo.
Pia Spirit Ndio Kila Kitu, Wachezaji Wako Kama Wamelala Na Kuridhika.
Kwani yule star wao wanamwita sakho nae hajapiga hata off targetKatika kipindi cha kwanza Makolo hawajapiga shuti hata moja katika goli la Barkane