RS Berkane 2- 0 Simba Sc | CAF Confederation Cup | Stade Municipal de Berkane

RS Berkane 2- 0 Simba Sc | CAF Confederation Cup | Stade Municipal de Berkane

Ligi ya TZ bado ...
Kila siku mechi za away tofauti ni kubwa ......Hatuchezi, hakuna pasi tatu, nne,...
tofauti na timu ngeni zikija kwa MKAPA hata kama timu za tz zikishinda bado unaona mpinzani pia kacheza...
Bado sana sisi kisaikolojia .....bado tupo nyuma sana ktk international level
 
Haha unafananisha mlima Kilimanjaro na kitonga? Yanga usiiongelee kwenye mashindano ya wanaume wabaki huko huko nyumbani kwenye makareti
 
Kina Kanute pale kati hawaonekani kabisa. At least Sakho anapambana
Aise kwa namna moja naelewa kwa nini pablo ameenda na 541 formation ili kudhibiti spidi ya tuisila ila ila kimkakati...simba sio counter attacking team. Yaani huoni traps ambazo watapata mpira na kuanzisha shbulizi la kushukiza. Mipira inayoenda kwa bocco ni ya kugombania, erasto pass zake za mbele ni overhit.
 
Kina Kanute pale kati hawaonekani kabisa. At least Sakho anapambana
Nyoni ndo kiazi kabisa pale kati, hivi kwanini tunawatunza hawa wazee kwenye club?? Mtu kama Nyoni anafanya nini pale simba, au ndo kuoneana aibu!

Wawa, Nyoni, Mugalu, Kagere , Bocco wanatakiwa kuagwa abaki Mzamiru na Kapombe wakati tunatafuta mbadala wao.
 
Back
Top Bottom