RS Berkane 2- 0 Simba Sc | CAF Confederation Cup | Stade Municipal de Berkane

RS Berkane 2- 0 Simba Sc | CAF Confederation Cup | Stade Municipal de Berkane

Dakika 60, bado Gendermarie 0 - 0 Asec Mimosas
 
Simba Nguvu Moya.
Tuombeee sana Matokeo ya Gendermarie yabaki kama yalivyo na sisi tupate hata sare
Mkuu kwanini yabaki hivo kuliko draw? Wote tukiwa na point 4 mbona kuna hatari
 
Mkuu kwanini yabaki hivo kuliko draw? Wote tukiwa na point 4 mbona kuna hatari
Sisi tukitoa droo tutakuwa na 5 tukipata sare leo hivyo tutaendelea kuongoza kundi, lkn tutakuwa tumebakiza gemu mbili home na Moja away. Yaaani uhakika wa Point 11 utakuwepo
 
Mkuu kwanini yabaki hivo kuliko draw? Wote tukiwa na point 4 mbona kuna hatari
Ikiwa draw Asec anakuwa na 4 na simba inamfuata kwake, kwa hiyo bora USG ashinde anaekuja home kwa simba
 
Dakika 73, Gendemarie 1- 0 Asec Mimosas
 
Dakika 80, Gendermarie 1- 0 Asec Mimosas
 
Ile pointi moja Simba aliyoipata Niger inaonekana umuhimu wake.

Dakika 83, bado USGN 1- 0 Asec
 
Back
Top Bottom