ngosha wa mwanza
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 3,832
- 11,964
MUNGU IBARIKI SIMBA .....TUEPUSHE NA AIBU SISI WAJA WAKO TUPE USHINDI ILI ADUI ZETU WAAIBIKE .....AMINAAAAA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DuuhDkk 90, Gendermarie 2 - 0 Asec Mimosas.
Naona Asec wameukubali muziki wa "watoto" wa Niger.
Dkk 90 + 5 USGN 2 - 0 Asec FT.
Kweli kabisaHao wamezoea kununua, wakikutana na timu wasiyowajua viongozi wake lazima wafungwe
Wamezoea kununua hao wanatuharibia mpira wetu Tz.Utopolo walisema USG ni vibonde wa kundi kisa wametoa draw na simba. Hakika utopolo ni utopolo.
Formation gan??
Simba anaenda na 4-1-2-1-2Formation gan??