RS Berkane 2- 0 Simba Sc | CAF Confederation Cup | Stade Municipal de Berkane

RS Berkane 2- 0 Simba Sc | CAF Confederation Cup | Stade Municipal de Berkane

Namatamani tushinde hii game ila nafsi inasitasitasita
 
Naona utopolo wamevamia uzi wameshamaliza kumhonga kipa wa Kagera
Nyuzi za Simba huwa zina amsha yake, acha wajae tu.

Matokeo yatawafukuza au yatawafanya wakenue kwenye huu uzi week nzima.
 
Back
Top Bottom