RS Berkane 2- 0 Simba Sc | CAF Confederation Cup | Stade Municipal de Berkane

RS Berkane 2- 0 Simba Sc | CAF Confederation Cup | Stade Municipal de Berkane

Dakika 63, Gendermarie 1 - 0 Asec Mimosas.

Wengi waliwadharau hawa jamaa haya sasa..
Utopolo walisema kwamba atafungwa na group zima kwahiyo simba alifanya makosa kutoa nae droo[emoji28].


Kwa jinsi wanavyocheza na aina ya pitch yao, nina uhakika hata Berkane ataacha point pale.
 
Hawa wajinga wanapiga mashuti ya mbali wanafikiri watamuweza manula
 
Back
Top Bottom