Hapa gori Mia wala hazihitajiki, kikubwa point 3.Berkane watabidi wajilaumu wenyewe kwa kupata goli mbili pekee wakati wachezaji wa Simba wamefanya makosa mengi mno, yaliyopelekea magoli ya wazi (Manula na Inonga wamechomesha) na pia Simba imecheza chini ya kiwango.
Ukisema si nzuri sana unakuwa unaifananisha ni timu gani?Hii timu si nzuri sana ila simba wameamua tu kuwa utopolo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yap
Ila ukitumia dstv utaona utofauti, huku simba imechangamka kidogo tofauti na azam
ThubutuuuHii mechi simba hatufungwi hata tukicheza na watoto wa waganga
Simba ni kagera sugar waliochangamka..Ukisema si nzuri sana unakuwa unaifananisha ni timu gani?
Kumbuka yupo nyumbani, kuna nguvu inayo m-favor kwa yeye kupata ushindi
Pili magoli tuliyofungwa binafsi naona kupeleka lawama kwa wachezaji ni kama tunawaonea tu
Hivi goli la kwanza lile utampa nani lawama?
Mbini ya mwalimu tangu dakika ya kwanza iliomesha wazi kua amekuja kuzuia, matokeo ya sare ndio matokeo aliyoyataka
Timu icheze kwa kujilimda na ikipata nafasi basi ifanye shambulizi la kushtukiza
Berkane wameshindwa kutufunga kwa njia ya pasi na kufika golini, kilichowapa faida ni ile mipira ya kutengwa so kwa situation hiyo ukiangalia na utulivu waliokuwa nao tujaribu kuwapa credit nao, hii ni timu bora huo ndio ukweli.
Mpira umeanza kushabikia lini mkuu? Nikuulize tu swali dogo hivi ikitokea timu moja inapoint 12 na timu mbili zikafungana point yaani wote wana point 10 je kitakachoamuliwa timu kwenda hatua inayofuata ni kitu gani? Au unadhani watarusha shilingi?Hapa gori Mia wala hazihitajiki, kikubwa point 3.
Jamani tumuogope Mungu.Berkane watabidi wajilaumu wenyewe kwa kupata goli mbili pekee wakati wachezaji wa Simba wamefanya makosa mengi mno, yaliyopelekea magoli ya wazi (Manula na Inonga wamechomesha) na pia Simba imecheza chini ya kiwango.
Ujinga wa simba si kufungwa. Ni kutofunga wakati hiyo timu ilikuwa inacheza kawaida tu. Sio timu ya kupaki basi ile. Wangejiamini wakawashambulia.Ukisema si nzuri sana unakuwa unaifananisha ni timu gani?
Kumbuka yupo nyumbani, kuna nguvu inayo m-favor kwa yeye kupata ushindi
Pili magoli tuliyofungwa binafsi naona kupeleka lawama kwa wachezaji ni kama tunawaonea tu
Hivi goli la kwanza lile utampa nani lawama?
Mbini ya mwalimu tangu dakika ya kwanza iliomesha wazi kua amekuja kuzuia, matokeo ya sare ndio matokeo aliyoyataka
Timu icheze kwa kujilimda na ikipata nafasi basi ifanye shambulizi la kushtukiza
Berkane wameshindwa kutufunga kwa njia ya pasi na kufika golini, kilichowapa faida ni ile mipira ya kutengwa so kwa situation hiyo ukiangalia na utulivu waliokuwa nao tujaribu kuwapa credit nao, hii ni timu bora huo ndio ukweli.
Ardhwa wa samawaat!Yanga 3 vs 0 Kagera sugar
Barkane 2 vs 0 Makolo
Nafikiri katika mpira hasa wakutafuta point kikubwa mi point 3, hilo swala la magori mengi ni matokeo ya ziada.Mpira umeanza kushabikia lini mkuu? Nikuulize tu swali dogo hivi ikiyokea timu moja inapoint 12 na timu mbili zikafungana point yaani wote wana point 10 je kitakachoamuliwa timu kwenda hatua inayofuata ni kitu gani? Au unadhani watarusha shilingi?
Hawa MAKOLO wamezidi kuwa wabovu sana kupita kiasi.
Dkk 90 hakuna shuti hata 1 lililolenga golini mwa mpinzani?
Tangu leo MAKOLO wanaitwa MAKOLO KOLO [emoji28]
Hapo ni sawa na kusemaYanga 3 vs 0 Kagera sugar
Barkane 2 vs 0 Makolo
Kwa mpira waliocheza Simba leo na kwa makosa waliofanya Simba leo, walistahili kufungwa goli zaidi ya manne, kama uliangalia utakubaliana na mimi.Jamani tumuogope Mungu.
Kiwango gani unachokisemea?
Cheki naye huyuSimba kama ni wazuri wafunge basi.
Timu lina short target 0 utaicompare na Berkane yenye 5!!
Total shots
19-_____2 🤣
Hata inahusiana? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yanga 3 vs 0 Kagera sugar
Barkane 2 vs 0 Makolo
Alifungwa goli 5 kwenye mechi 2Mechi 2 Berkane imefungwa goli 5, una haja gani ya kudefend mechi nzima?! Us** mtupu walioufanya