RS Berkane 2- 0 Simba Sc | CAF Confederation Cup | Stade Municipal de Berkane

Berkane watabidi wajilaumu wenyewe kwa kupata goli mbili pekee wakati wachezaji wa Simba wamefanya makosa mengi mno, yaliyopelekea magoli ya wazi (Manula na Inonga wamechomesha) na pia Simba imecheza chini ya kiwango.
Hapa gori Mia wala hazihitajiki, kikubwa point 3.
 
Hii timu si nzuri sana ila simba wameamua tu kuwa utopolo
Ukisema si nzuri sana unakuwa unaifananisha ni timu gani?

Kumbuka yupo nyumbani, kuna nguvu inayo m-favor kwa yeye kupata ushindi

Pili magoli tuliyofungwa binafsi naona kupeleka lawama kwa wachezaji ni kama tunawaonea tu

Hivi goli la kwanza lile utampa nani lawama?

Mbini ya mwalimu tangu dakika ya kwanza iliomesha wazi kua amekuja kuzuia, matokeo ya sare ndio matokeo aliyoyataka

Timu icheze kwa kujilimda na ikipata nafasi basi ifanye shambulizi la kushtukiza

Berkane wameshindwa kutufunga kwa njia ya pasi na kufika golini, kilichowapa faida ni ile mipira ya kutengwa so kwa situation hiyo ukiangalia na utulivu waliokuwa nao tujaribu kuwapa credit nao, hii ni timu bora huo ndio ukweli.
 
Simba ni kagera sugar waliochangamka..
 
Hapa gori Mia wala hazihitajiki, kikubwa point 3.
Mpira umeanza kushabikia lini mkuu? Nikuulize tu swali dogo hivi ikitokea timu moja inapoint 12 na timu mbili zikafungana point yaani wote wana point 10 je kitakachoamuliwa timu kwenda hatua inayofuata ni kitu gani? Au unadhani watarusha shilingi?
 
Berkane watabidi wajilaumu wenyewe kwa kupata goli mbili pekee wakati wachezaji wa Simba wamefanya makosa mengi mno, yaliyopelekea magoli ya wazi (Manula na Inonga wamechomesha) na pia Simba imecheza chini ya kiwango.
Jamani tumuogope Mungu.

Kiwango gani unachokisemea?
 
Ukisema si nzuri sana unakuwa unaifananisha ni timu gani?

Kumbuka yupo nyumbani, kuna nguvu inayo m-favor kwa yeye kupata ushindi

Pili magoli tuliyofungwa binafsi naona kupeleka lawama kwa wachezaji ni kama tunawaonea tu

Hivi goli la kwanza lile utampa nani lawama?

Mbini ya mwalimu tangu dakika ya kwanza iliomesha wazi kua amekuja kuzuia, matokeo ya sare ndio matokeo aliyoyataka

Timu icheze kwa kujilimda na ikipata nafasi basi ifanye shambulizi la kushtukiza

Berkane wameshindwa kutufunga kwa njia ya pasi na kufika golini, kilichowapa faida ni ile mipira ya kutengwa so kwa situation hiyo ukiangalia na utulivu waliokuwa nao tujaribu kuwapa credit nao, hii ni timu bora huo ndio ukweli.
Ujinga wa simba si kufungwa. Ni kutofunga wakati hiyo timu ilikuwa inacheza kawaida tu. Sio timu ya kupaki basi ile. Wangejiamini wakawashambulia.
 
Mpira umeanza kushabikia lini mkuu? Nikuulize tu swali dogo hivi ikiyokea timu moja inapoint 12 na timu mbili zikafungana point yaani wote wana point 10 je kitakachoamuliwa timu kwenda hatua inayofuata ni kitu gani? Au unadhani watarusha shilingi?
Nafikiri katika mpira hasa wakutafuta point kikubwa mi point 3, hilo swala la magori mengi ni matokeo ya ziada.
 
Uongozi Simba ujilaumu kwa kuwaacha kina cheikh moukoro na Ado...wale jamaa walistahili kusajiliwa simba kabisa...tena ukizingatia walikuws ni free agents
 
Jamani tumuogope Mungu.

Kiwango gani unachokisemea?
Kwa mpira waliocheza Simba leo na kwa makosa waliofanya Simba leo, walistahili kufungwa goli zaidi ya manne, kama uliangalia utakubaliana na mimi.
 
Simba kama ni wazuri wafunge basi.

Timu lina short target 0 utaicompare na Berkane yenye 5!!

Total shots
19-_____2 🤣
Cheki naye huyu

Sasa cha ajabu nini hapo wakati mbinu ya mwalimu aliyoingia nayo ni kujilinda?

Hapo huna tofauti na mtu ambaye anamcheka goli kipa kwa kumaliza msimu bila kuwa na goli
 
Hapa kwa Pablo tukubali kuwa tumepigwa!! Yaani anaanzaje kumuacha nje morrisson, kagere na mhilu halafu anawaanzisha kina nyoni na boko...hivi kulikuwa na haja gani ya kuchezesha mabeki watano kwenye mechi ya leo..??

Tungekuwa tunacheza na Al ahly pale Cairo si angechezesha hata mabeki 8 ,kiungo mmoja na mshambuliaji mmoja!?
 
Mechi 2 Berkane imefungwa goli 5, una haja gani ya kudefend mechi nzima?! Us** mtupu walioufanya
Alifungwa goli 5 kwenye mechi 2

record hiyo imekutosha sana kuiona ni timu ya kawaida au mbovu

Ila hujaongelea goli 5 alizofunga berkane kwenye mechi 1
 
Back
Top Bottom