RS Berkane 2- 0 Simba Sc | CAF Confederation Cup | Stade Municipal de Berkane

RS Berkane 2- 0 Simba Sc | CAF Confederation Cup | Stade Municipal de Berkane

Ila huyu kocha wa Simna naonaga kama mbahatishaji tu,timu haijapiga shuti lolote golini.

Hakuna maana ya kujilinda kiasi hiki Simba sio timu ndogo kiasi chakufanya unashindwa kabisa kwenda mbele eti unajilinda.

Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
Nakubalinanna wewe...strategy yake kwa kweli ni mbovu.
Sasa ngoja tuone second half atabadilikaje
 
Henonga ni beki mzuri sana wala msim judge kwa matokeo yaliyotokea
Beki mzuri kama utamlinganisha na ufwadu wa kagera sugar ila kwa viwango vya mwamnyeto, job, bangala na mfanano wa hao enonga anabaki kuwa densa wa kikongo tu
 
Sio Kwa Huyu Mpumbavu. Simba Msimu Huu Tunapoteza Kila Kitu kwasababu Ya Jeuri, Wachezaji wamekaa Njee siku 10 siku zote hizo wanalipwa Lakini wanacheza kama Wametoka Kucheza Jana
Uchebe ilikuwa akipigwa moja anafunguka mazima, hakuna haja ya kuendelea kujinda ilhali tumepigwa 2 tayari.

Wachezaji nao wameshainua mabega, linatakiwa lipite paranja tusajili damu mpya.
 
Wanao lalamika wote chukueni Namba hii ya Fundi Pablo sema msinitaje +212 5290 98021 anapatikana WhatsApp Morocco
 
Gomez alikuwa anajilinda.... Lakini walau timu ina posess.....lakini sio kwa style hiyo ya PABLO
 
Kocha mshamba huyu ...anamwachaje chama nje

Si umeona eeeh!! Kocha kauza mechi kwa Berkane! Clotus Chama anatakiwa kucheza kabisa kwenye hii mechi ili amuwekee ma assist ya kutosha nahodha John Bocco! 🥵
 
Mke ndo huyu kaenda moroco huku nilibaki na bi mdg nimempiga 3 leo namsubiri mke apigwe 4 swafiiii
😅😅😅 kumbe umebaki na mke mdogo....ndio maana uanfanya fujo Huku ukute ameshalala ...mkome kuoa watoto wabichi
 
Nakumbuka hata wakati tukila goli 5 dhidi ya As vita pamoja na Aly Ahly, hatukuwa nyuma ya mpira kiasi hiki.. timu haiwezi piga pass hata 3 kwenda mbele??? Huyu Pablo ni hopeless coach kabisa
 
Back
Top Bottom