Bangi hiziTukio la ajabu limetokea katika anga za juu na kuwaacha watu midomo wazi. Tukio gani hilo? Endelea kusoma...
Wakati dunia nzima ikifuatilia safari ya Artemis II, rubani wa misheni hiyo, Victor Glover, akiwa katika anga za juu, badala ya kutoa ujumbe wa kisayansi, ametoa ujumbe wa kiroho!
Victor Glover, akiwa mbali kabisa na dunia, katika ukimya wa anga za juu, amesema kwamba jambo muhimu kuliko yote ambalo mwanadamu anaweza kulibeba popote alipo ni upendo. Kisha akanukuu mafundisho ya Yesu Kristo katika Biblia, ambapo Yesu alisema: amri kuu ni kumpenda Mungu kwa moyo wako wote, kwa roho yako yote, kwa akili zako zote na kwa nguvu zako zote, na amri kuu ya pili ni kumpenda jirani yako kama nafsi yako.
Tazama sehemu ya ujumbe wa rubani Victor Glover katika video hii...
Kutapatapa na uzwazwa mtupu. Kwani, amefika huko kwa sayansi au hizo ngano uchwara zako. Acneni udandizi kumbaffTukio la ajabu limetokea katika anga za juu na kuwaacha watu midomo wazi. Tukio gani hilo? Endelea kusoma...
Wakati dunia nzima ikifuatilia safari ya Artemis II, rubani wa misheni hiyo, Victor Glover, akiwa katika anga za juu, badala ya kutoa ujumbe wa kisayansi, ametoa ujumbe wa kiroho!
Victor Glover, akiwa mbali kabisa na dunia, katika ukimya wa anga za juu, amesema kwamba jambo muhimu kuliko yote ambalo mwanadamu anaweza kulibeba popote alipo ni upendo. Kisha akanukuu mafundisho ya Yesu Kristo katika Biblia, ambapo Yesu alisema: amri kuu ni kumpenda Mungu kwa moyo wako wote, kwa roho yako yote, kwa akili zako zote na kwa nguvu zako zote, na amri kuu ya pili ni kumpenda jirani yako kama nafsi yako.
Tazama sehemu ya ujumbe wa rubani Victor Glover katika video hii...
SIku hizi ni za mwisho, maarifa yameongezeka sana kama ilivyotabiriwa katika Danieli 12:4, hivyo usishangae video hizo kutumwa kutoka anga za juuHizo video wanatumaje wakati kule sio duniani na hakuna installation ya MIFUMO ya mawasiliano na hata hicho chombo wameweka kule ni mbali Sana?
Umeokoka na nini wewe?Bangi haina nafasi kwa watu waliookoka