Davidmmarista
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 3,114
- 6,309
Ujinga 🚮🚮🚮Nakusikitikia sana kwa sababu, kwa video hii uliyoweka, tayari umejiweka kwenye kundi la watakaokuwa mkono wa kushoto, siku ya hukumu, maana umeisikia Injili ukawakashifu waliokuletea Injili kuwa ni watu wa bangi. Nasikitika hutakuwa na la kujitetea utakapoambiwa:
"Ondokeni kwangu, ninyi mliolaaniwa, mwende katika moto wa milele, ulioandaliwa kwa ajili ya Ibilisi na malaika zaike." (Mt 25:41).
Tubu kabla neema haijafungwa.
Ndugu yangu, ni muhimu sana kumuomba Mungu atulinde safarini. Hivi hujui kwamba kuna marubani na wanaanga wengi waliofariki wakati walipoanza kupaa kwenda anga za juu au wakati wa kurudi?
Unaikumbuka ajali ya Space Shuttle Challenger (1986)? Chombo hiki cha NASA kililipuka sekunde chache tu baada ya kurushwa. Wanaanga wote 7 waliokuwemo walifariki.
Mwaka 2003 ilitokea ajali nyingine ya Space Shuttle Columbia. Chombo hicho kiliharibika kilipokuwa kinarudi duniani, kikasambaratika angani. Wanaanga wote 7 walipoteza maisha.
Unaikumbuka Soyuz 11? Hiki kilikuwa chombo cha Soviet space program. Wanaanga watatu walifariki baada ya hewa kutoka ndani ya chombo hicho walipokuwa wanarudi duniani.
Matukio hayo yote yanaonyesha kuwa safari za anga ni hatari sana, hivyo ni muhimu kuomba ulinzi wa Mungu hata katika safari hizo. Mungu ni Mkuu, anao uwezo wa kutuepusha na ajali tukimtumaini.
Mimi hilo nimelishuhudia katika safari nyingi angani, baharini na barabarani. Mungu ameniepusha na ajali nyingi zilizokuwa dhahiri kabisa.
Nafikiri umeona sasa kwanini rubani Victor Glover alimtanguliza Mungu katika safari yao.
Halafu nakutahadharisha ujiepushe kutamka matusi. Matusi ni mojawapo ya dhambi ambazo watu wanaziona ndogo, lakini zitawapeleka katika moto wa milele. Soma 1 Wakorintho 6:9-10
Cc: Davidmmarista
Mere and sheer hooey.Ndugu yangu, ni muhimu sana kumuomba Mungu atulinde safarini. Hivi hujui kwamba kuna marubani na wanaanga wengi waliofariki wakati walipoanza kupaa kwenda anga za juu au wakati wa kurudi?
Unaikumbuka ajali ya Space Shuttle Challenger (1986)? Chombo hiki cha NASA kililipuka sekunde chache tu baada ya kurushwa. Wanaanga wote 7 waliokuwemo walifariki.
Mwaka 2003 ilitokea ajali nyingine ya Space Shuttle Columbia. Chombo hicho kiliharibika kilipokuwa kinarudi duniani, kikasambaratika angani. Wanaanga wote 7 walipoteza maisha.
Unaikumbuka Soyuz 11? Hiki kilikuwa chombo cha Soviet space program. Wanaanga watatu walifariki baada ya hewa kutoka ndani ya chombo hicho walipokuwa wanarudi duniani.
Matukio hayo yote yanaonyesha kuwa safari za anga ni hatari sana, hivyo ni muhimu kuomba ulinzi wa Mungu hata katika safari hizo. Mungu ni Mkuu, anao uwezo wa kutuepusha na ajali tukimtumaini.
Mimi hilo nimelishuhudia katika safari nyingi angani, baharini na barabarani. Mungu ameniepusha na ajali nyingi zilizokuwa dhahiri kabisa.
Nafikiri umeona sasa kwanini rubani Victor Glover alimtanguliza Mungu katika safari yao.
Halafu nakutahadharisha ujiepushe kutamka matusi. Matusi ni mojawapo ya dhambi ambazo watu wanaziona ndogo, lakini zitawapeleka katika moto wa milele. Soma 1 Wakorintho 6:9-10
Cc: Davidmmarista
Yesu ni MUNGU. Ushahidi huu hapa:Ni kweli ni muhimu kumuomba Mungu na siyo Yesu , kwani yesu si Mungu , na haombwi kwani Yesu mwenyewe amesema , "I can of myself do nothing" (John 5:30)
Kama Yesu ni Mungu, dunia na vilivyomo vyote vilikuwa vikisimamiwa na nani wakati alipokuwa tumboni mwa mama yake kwa miezi tisa?Yesu ni MUNGU. Ushahidi huu hapa:
Yohana 1:1
“Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu.”
Katika andiko hilo “Neno” ni Yesu (angalia Yohana 1:14), na hapo anaitwa wazi Mungu.
Yohana 1:14
“Naye Neno alifanyika mwili, akakaa kwetu…”
Hapo tunajifunza kuwa Mungu, yaani Yesu, alikuja duniani akauvaa mwili wa kibinadamu.
Yohana 20:28
Tomaso, mtume, akamwambia Yesu: “Bwana wangu na Mungu wangu!”
Tomaso alimuita Yesu Mungu, na Yesu hakukana.
Tito 2:13
“...tukilitazamia tumaini lenye baraka, na mafunuo ya utukufu wa Mungu mkuu na Mwokozi wetu Yesu Kristo.”
Hapo pia Yesu anaitwa Mungu mkuu na Mwokozi.
Waebrania 1:8
“Lakini kwa Mwana asema, Kiti chako cha enzi, Ee Mungu, ni cha milele…”
Mungu Baba anamwita Mwana(Yesu) Mungu. Kumbuka, Mungu ana nafsi tatu: Mungu Baba, Mungu Mwana na Mungu Roho Mtakatifu. Kama hujui hivyo, sema nikueleweshe zaidi.
Wakolosai 2:9
“Maana katika yeye unakaa utimilifu wote wa Uungu, kwa jinsi ya kimwili.”
Andiko hilo linatufundisha kuwa Uungu wote uko ndani ya Yesu.
Isaya 9:6
“...ataitwa Jina lake, Mshauri wa ajabu, Mungu mwenye nguvu…”
Huo ni unabii unaomwita Masihi(Yesu) Mungu mwenye nguvu.
Mika 5:2
“...ambaye asili yake ni tangu zamani za kale, tangu milele."
Mika anaeleza hapo kuwa Yesu ni wa milele. Hiyo ni sifa ya Mungu pekee.
Ufunuo 1:8
“Mimi ni Alfa na Omega… Mwenyezi.”
Yesu anajitambulisha hapo kwa majina ya Mungu.
Yohana 10:30
“Mimi na Baba tu umoja.”
Yesu anajilinganisha na Mungu Baba.
Mpaka hapo naamini umeona wazi ya kwamba Yesu ni zaidi ya mtume au nabii. Yesu ni Mungu aliyefanyika mwili.
Hebu tulidadavue sasa andiko ulilonukuu (Yohana 5:30)
Hapo Yesu alikuwa akiongea kama Mwana aliyekuja duniani na kufanyika mwili.
Ukisoma mistari inayotangulia huo uliounukuu, utaona kuwa Wayahudi walitaka kumuua kwa sababu “alijifanya sawa na Mungu” (Yn 5:18; Yn 5:23)
Angalia Yesu anavyosema katika Yohana 5:21
“Kama Baba afufuavyo wafu… vivyo hivyo Mwana huwatia uzima awatakao”
Andiko ulilonukuu linathibitisha kuwa Yesu na Baba wako katika umoja sawasawa na andiko la Yohana 10:30, ndio sababu Yesu alisema "I can of myself do nothing"
Kwa nondo hizi kama bado tu unapinga kuwa Yesu sio Mungu basi ni dhahiri wewe ni Antichristos. Na kama ni hivyo sishangai, kwa sababu jambo hilo lilitabiriwa tangu zamani kwamba litatokea nyakati hizi za mwisho.
1 Yoh 2:18-23
"...ni wakati wa mwisho; na kama vile mlivyosikia kwamba mpinga Kristo yuaja, hata sasa wapinga Kristo wengi wamekwisha kuwapo. Kwa sababu hiyo twajua ya kuwa ni wakati wa mwisho. Walitoka kwetu, lakini hawakuwa wa kwetu. Maana kama wangalikuwa wa kwetu, wangalikaa pamoja nasi. Lakini walitoka ili wafunuliwe kwamba si wote walio wa kwetu."
Yesu ni MUNGU. Ushahidi huu hapa:

Evil and intelligence goes hand in hand, kama ulikuwa hujuiAnamcha Mungu ndio maana amepewa miakili mingi
YESU NI MUNGU PENDA USIPENDE.“Umeleta mistari mingi, lakini tatizo lako si kukosa mistari — ni kutokuelewa Biblia yako.
Kwanza kabisa, Biblia inasema wazi: ‘Mungu si mwanadamu’ (Hesabu 23:19) . Lakini wewe unasema Mungu ni Yesu aliyekuwa mwanadamu hapo tayari umepingana na Biblia yako.
1. Yohana 1:1 – “Neno alikuwa Mungu”
Hapo pia inasema: ‘Neno alikuwa kwa Mungu’ Sasa jiulize: Yuko kwa Mungu, halafu ni huyo huyo Mungu? Hiyo ni mantiki gani?
2. Yohana 20:28 – Tomaso alisema “Mungu wangu”
Biblia yako pia inasema: ‘Mungu wenu na Mungu wangu’ (Yohana 20:17) — Yesu Kristo anasema hivyo . Sasa kama Yesu ana Mungu wake, anawezaje kuwa huyo Mungu?
3. Waebrania 1:8
Hii ni nukuu ya Zaburi 45, na hata tafsiri nyingine zinaonyesha maana ya mamlaka, si kwamba yeye ni Mungu halisi. Na hapohapo chini:
‘Kwa hiyo Mungu, Mungu wako, amekutia mafuta…’ (Waebrania 1:9) . Sasa Mungu ana Mungu juu yake? Unasoma kweli au unachagua?
4. Wakolosai 2:9 – “utimilifu wa Uungu”
Hata waumini wengine wanaambiwa: ‘Mjazwe utimilifu wote wa Mungu’ (Waefeso 3:19) . Sasa nao wamekuwa Mungu? Au unachagua aya unazotaka tu?
5. Yohana 10:30 – “Mimi na Baba tu umoja”
Yesu mwenyewe anaeleza umoja huo: ‘Nao wawe na umoja kama sisi tulivyo umoja’ (Yohana 17:22) . Hivyo huo “umoja” ni wa kusudi, si kuwa mtu mmoja.
6. “Alfa na Omega”
Biblia inasema wazi: ‘Bwana Mungu… Mwenyezi’ (Ufunuo 1:8) . Huyo anayesema hapo ni Mungu, si Yesu unachanganya wahusika.
7. Hoja yako yote inaanguka hapa:
Yesu anasema: ‘Baba ni mkuu kuliko mimi’ (Yohana 14:28) . ‘Huu ndiyo uzima wa milele, wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu uliyemtuma’ (Yohana 17:3) . Hapa Yesu anatofautisha wazi: Mungu wa kweli ni Baba ,
Yesu ni aliyetumwa
Biblia yako haifundishi Yesu ni Mungu , inaonyesha wazi ni mtumwa na mjumbe wa Mungu.
Wewe umechukua aya chache nje ya muktadha na kupuuza zile zilizo wazi kabisa.
Na hiyo tabia ya kuita watu “Antichrist” wakati hoja zako zinaanguka kwa Biblia yako mwenyewe — ndiyo dalili ya mtu aliyekwama kwenye imani ya kurithi, si ya kuelewa.”
Hoja zako ulizozi-copy na kuzi-paste bila kuzitafakari, zinaonekana nyingi na nzito lakini zimeegamia upande mmoja tu.“Umeleta mistari mingi, lakini tatizo lako si kukosa mistari — ni kutokuelewa Biblia yako.
Kwanza kabisa, Biblia inasema wazi: ‘Mungu si mwanadamu’ (Hesabu 23:19) . Lakini wewe unasema Mungu ni Yesu aliyekuwa mwanadamu hapo tayari umepingana na Biblia yako.
1. Yohana 1:1 – “Neno alikuwa Mungu”
Hapo pia inasema: ‘Neno alikuwa kwa Mungu’ Sasa jiulize: Yuko kwa Mungu, halafu ni huyo huyo Mungu? Hiyo ni mantiki gani?
2. Yohana 20:28 – Tomaso alisema “Mungu wangu”
Biblia yako pia inasema: ‘Mungu wenu na Mungu wangu’ (Yohana 20:17) — Yesu Kristo anasema hivyo . Sasa kama Yesu ana Mungu wake, anawezaje kuwa huyo Mungu?
3. Waebrania 1:8
Hii ni nukuu ya Zaburi 45, na hata tafsiri nyingine zinaonyesha maana ya mamlaka, si kwamba yeye ni Mungu halisi. Na hapohapo chini:
‘Kwa hiyo Mungu, Mungu wako, amekutia mafuta…’ (Waebrania 1:9) . Sasa Mungu ana Mungu juu yake? Unasoma kweli au unachagua?
4. Wakolosai 2:9 – “utimilifu wa Uungu”
Hata waumini wengine wanaambiwa: ‘Mjazwe utimilifu wote wa Mungu’ (Waefeso 3:19) . Sasa nao wamekuwa Mungu? Au unachagua aya unazotaka tu?
5. Yohana 10:30 – “Mimi na Baba tu umoja”
Yesu mwenyewe anaeleza umoja huo: ‘Nao wawe na umoja kama sisi tulivyo umoja’ (Yohana 17:22) . Hivyo huo “umoja” ni wa kusudi, si kuwa mtu mmoja.
6. “Alfa na Omega”
Biblia inasema wazi: ‘Bwana Mungu… Mwenyezi’ (Ufunuo 1:8) . Huyo anayesema hapo ni Mungu, si Yesu unachanganya wahusika.
7. Hoja yako yote inaanguka hapa:
Yesu anasema: ‘Baba ni mkuu kuliko mimi’ (Yohana 14:28) . ‘Huu ndiyo uzima wa milele, wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu uliyemtuma’ (Yohana 17:3) . Hapa Yesu anatofautisha wazi: Mungu wa kweli ni Baba ,
Yesu ni aliyetumwa
Biblia yako haifundishi Yesu ni Mungu , inaonyesha wazi ni mtumwa na mjumbe wa Mungu.
Wewe umechukua aya chache nje ya muktadha na kupuuza zile zilizo wazi kabisa.
Na hiyo tabia ya kuita watu “Antichrist” wakati hoja zako zinaanguka kwa Biblia yako mwenyewe — ndiyo dalili ya mtu aliyekwama kwenye imani ya kurithi, si ya kuelewa.”
Swali lako linamwekea Mungu mipaka kana kwamba hawezi kuwepo zaidi ya sehemu moja kwa wakati mmoja.Kama Yesu ni Mungu, dunia na vilivyomo vyote vilikuwa vikisimamiwa na nani wakati alipokuwa tumboni mwa mama yake kwa miezi tisa?
Du kweli wajinga Afrika mi wengi. Eti Mungu tumboniSwali lako linamwekea Mungu mipaka kana kwamba hawezi kuwepo zaidi ya sehemu moja kwa wakati mmoja.
Yesu alipokuwa tumboni, hakuacha kuwa Mungu. Alikuwa Mungu + mwanadamu kwa wakati mmoja. Mwili wake ulikuwa tumboni lakini Uungu wake haukufungwa na tumbo la uzazi.
Mungu hawekewi mipaka ya mahali kama wanadamu. In other words, hata alipokuwa tumboni aliendelea kuisimamia na kuishikilia dunia na vyote vilivyomo. (Wakolosai 1:17)
Ngano kama za quran“Umeleta mistari mingi, lakini tatizo lako si kukosa mistari — ni kutokuelewa Biblia yako.
Kwanza kabisa, Biblia inasema wazi: ‘Mungu si mwanadamu’ (Hesabu 23:19) . Lakini wewe unasema Mungu ni Yesu aliyekuwa mwanadamu hapo tayari umepingana na Biblia yako.
1. Yohana 1:1 – “Neno alikuwa Mungu”
Hapo pia inasema: ‘Neno alikuwa kwa Mungu’ Sasa jiulize: Yuko kwa Mungu, halafu ni huyo huyo Mungu? Hiyo ni mantiki gani?
2. Yohana 20:28 – Tomaso alisema “Mungu wangu”
Biblia yako pia inasema: ‘Mungu wenu na Mungu wangu’ (Yohana 20:17) — Yesu Kristo anasema hivyo . Sasa kama Yesu ana Mungu wake, anawezaje kuwa huyo Mungu?
3. Waebrania 1:8
Hii ni nukuu ya Zaburi 45, na hata tafsiri nyingine zinaonyesha maana ya mamlaka, si kwamba yeye ni Mungu halisi. Na hapohapo chini:
‘Kwa hiyo Mungu, Mungu wako, amekutia mafuta…’ (Waebrania 1:9) . Sasa Mungu ana Mungu juu yake? Unasoma kweli au unachagua?
4. Wakolosai 2:9 – “utimilifu wa Uungu”
Hata waumini wengine wanaambiwa: ‘Mjazwe utimilifu wote wa Mungu’ (Waefeso 3:19) . Sasa nao wamekuwa Mungu? Au unachagua aya unazotaka tu?
5. Yohana 10:30 – “Mimi na Baba tu umoja”
Yesu mwenyewe anaeleza umoja huo: ‘Nao wawe na umoja kama sisi tulivyo umoja’ (Yohana 17:22) . Hivyo huo “umoja” ni wa kusudi, si kuwa mtu mmoja.
6. “Alfa na Omega”
Biblia inasema wazi: ‘Bwana Mungu… Mwenyezi’ (Ufunuo 1:8) . Huyo anayesema hapo ni Mungu, si Yesu unachanganya wahusika.
7. Hoja yako yote inaanguka hapa:
Yesu anasema: ‘Baba ni mkuu kuliko mimi’ (Yohana 14:28) . ‘Huu ndiyo uzima wa milele, wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu uliyemtuma’ (Yohana 17:3) . Hapa Yesu anatofautisha wazi: Mungu wa kweli ni Baba ,
Yesu ni aliyetumwa
Biblia yako haifundishi Yesu ni Mungu , inaonyesha wazi ni mtumwa na mjumbe wa Mungu.
Wewe umechukua aya chache nje ya muktadha na kupuuza zile zilizo wazi kabisa.
Na hiyo tabia ya kuita watu “Antichrist” wakati hoja zako zinaanguka kwa Biblia yako mwenyewe — ndiyo dalili ya mtu aliyekwama kwenye imani ya kurithi, si ya kuelewa.”
Kuna kitu kinaitwa “Deep Space network” ndicho kilikuwa kinasaidia mawasiliana mpaka hiyo mifumo ya internet.Hizo video wanatumaje wakati kule sio duniani na hakuna installation ya MIFUMO ya mawasiliano na hata hicho chombo wameweka kule ni mbali Sana?
Hoja zako ulizozi-copy na kuzi-paste bila kuzitafakari, zinaonekana nyingi na nzito lakini zimeegamia upande mmoja tu.
Hili andiko la Hesabu 23:19 halimaanishi Mungu hawezi kujifanya mwanadamu. Maana yake ni kwamba Mungu sio mwanadamu kwa asili yake hata aseme uongo au abadilishe nia. Mungu alifanyika mwili ili aje atuokoe
Andiko la Yohana 1:1 linaonyesha mambo mawili kwa wakati mmoja: utofauti wa nafsi (Neno yuko kwa Mungu) na Uungu wake (Neno ni Mungu). Hii ndiyo siri ya Uungu wa Kristo, sio contradiction.
Umelinganisha Yohana 20:17 na 20:28. Ndiyo, Yesu alisema “Baba ni Mungu wangu” kwa sababu wakati huo alikuwa anaongea kama mwanadamu. Yesu alijinyenyekeza na kuwa mwanadamu
Tomaso alipomwita Yesu “Mungu wangu”, Yesu hakumkosoa. Kama hilo lingekuwa kosa, Yesu angekataa kuitwa hivyo.
Waebrania 1:8-9 haina utata wowote. Baba anamwambia Mwana: “Ee Mungu…” kisha mstari unaofuata unaonyesha tofauti ya nafsi, sio kukataa Uungu
Umelinganisha Wakolosai 2:9 na Waefeso 3:19. Hapo umechanganya kabisa. Wakolosai 2:9 inaonyesha UTIMILIFU WOTE wa Uungu unakaa ndani ya Kristo. Waefeso 3:19 inaonyesha Waumini wanajazwa kwa neema, sio kufanywa Mungu. Hakuna mwanadamu anayeweza kubeba “utimilifu wote wa Uungu” isipokuwa Yesu Kristo.
Mistari ya Yohana 10:30 na 17:22 inazungumzia “umoja wa waumini” lakini Yesu anaeleza umoja wa kipekee unaomfanya asamehe dhambi na kupewa heshima sawa na Mungu (Yohana 5:23)
Waumini hawana mamlaka hayo.
Umetaja Ufunuo 1:8 ukaacha Ufu 22:13 ambapo Yesu anatajwa kuwa ni Alfa na Omega.
Yesu anaposema “Baba ni mkuu kuliko mimi” anaelezea nafasi (role), sio asili au nature.
Yesu alijinyenyekeza (Wafilipi 2:6-7), lakini kwa asili ni Mungu. Kwa nafasi duniani alijishusha
Kwa ufupi Biblia haijipingi, kama wewe unavyotaka kuonyesha. Ulichofanya wewe ni kuchagua upande mmoja tu wa kumpinga Kristo.
Mwisho niseme hivi: Mtume gani au nabii gani anayeweza kufanya mambo haya ya ki-Mungu:
Kusamehe dhambi (Marko 2:5-7)
Kutoa uzima wa milele (Yohana 10:28)
Kuhukumu ulimwengu (2 Wakorintho 5:10)
Kubadili maji kuwa divai (Yohana 2:1-11)
Kutembea juu ya maji (Mathayo 14:25-27)
Kutuliza dhoruba (Marko 4:39)
Kufufua wafu (Yohana 11:43-44)
Kupaa mbinguni (Matendo 1:9-11)
Kutuandalia makao mbinguni (Yohana 14:2–3)
Kutunyakua na kutupeleka mbinguni (1 Wathesalonike 4:16–17)
YOTE HAYO YALIFANYWA NA YESU KUDHIHIRISHA KUWA YESU NI MUNGU PAMOJA NASI (IMANUELI)
Ngano kama za quran
Swali lako linamwekea Mungu mipaka kana kwamba hawezi kuwepo zaidi ya sehemu moja kwa wakati mmoja.
Yesu alipokuwa tumboni, hakuacha kuwa Mungu. Alikuwa Mungu + mwanadamu kwa wakati mmoja. Mwili wake ulikuwa tumboni lakini Uungu wake haukufungwa na tumbo la uzazi.
Mungu hawekewi mipaka ya mahali kama wanadamu. In other words, hata alipokuwa tumboni aliendelea kuisimamia na kuishikilia dunia na vyote vilivyomo. (Wakolosai 1:17)
hawa wamarekani hata siwaelewi kwa kweli...mwaka 1969, walituaminisha Apollo 11 imetua mwezini na wakatuma mapicha kibao wana anga wakitembea juu ya mweziMarko 12:28-34
Na mmojawapo wa waandishi akafika, akawasikia wakisemezana naye, akatambua ya kuwa amewajibu vema, akamwuliza, Katika amri zote ni ipi iliyo ya kwanza? Yesu akamjibu, Ya kwanza ndiyo hii, Sikia, Israeli, Bwana Mungu wetu ni Bwana mmoja; nawe mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote, na kwa akili zako zote, na kwa nguvu zako zote. Na ya pili ndiyo hii, Mpende jirani yako kama nafsi yako. Hakuna amri nyingine iliyo kuu kuliko hizi. Yule mwandishi akamwambia, Hakika, Mwalimu, umesema vema ya kwamba Mungu ni mmoja, wala hakuna mwingine ila yeye; na kumpenda yeye kwa moyo wote, na kwa ufahamu wote, na kwa nguvu zote, na kumpenda jirani kama nafsi yako, kwafaa kuliko sadaka nzima za kuteketezwa na dhahibu zote pia. Naye Yesu, alipoona kwamba amejibu kwa busara, alimwambia, Wewe hu mbali na ufalme wa Mungu. Wala hakuthubutu mtu kumsaili neno tena tokea hapo.
kwani wavalishwa pampers wanaona nini ?? kinyesi ??Kobaz wanaona wivu 🤣🤣🤣🤣... Huu uzi wanajisonya tu..