TANZIA Rubani wa Ndege iliyotekwa 1982 kushinikiza Nyerere ajiuzulu afariki dunia

Mkuu Paskal, kuna mambo ya zamani ukiyakumbuka unabaki kufurah…enzi za “nenda kwa singasinga ndo utapata spare hii” huwa sisahau huu msemo maarufu wa mzee wangu hapo akinutuma kununua spare ya Bedford au Zepha 6!
Mkuu Kamanda Moshi , enzi hizo mambo ya ufundi wa magari ni masingasinga, toka enzi za mashindano ya magari ya East Africa Safari Rally, mzungu Bert Sharkland wa Tanganyika Motors na singasinga Joginder Sing.
P
 
Duu umenikumbusha benzi ya mzee Aikaeli Mbowe ikaja imeandikwa jina kila kifaa
Enzi hizo Waswahili wenye Benzi wanahesabika!. Mimi nawakumbuka Benzi ya Mzee Lupembe, Benzi ya Obed Katikaza, Benzi ya Dr. Mtawali. Benzi ya Dr. fulani Changombe. Tajiri mmoja akiitwa Mgaya yeye ndio alikuwa ana Range!.
P
 
Hivi kuliwahi kuwa na namba za STF kweli nakumbuka STE na STG
 
Unakumbuka nyumba za Lord Rajipar za pale karibu na TANESco Mikocheni zilivyotaifishwa na kupewa jeshi la Police?
 
Hawa vijana wa sasa unaweza hata kuwashika matako na bado wakaenda kikao kule twita kulalamika na mipango kibao, halafu watamalizia JF kuchamba mwezi mzima...
Hahaaaa. Vijana wa Sasa wepesi mno
 
Unakumbuka nyumba za Lord Rajipar za pale karibu na TANESco Mikocheni zilivyotaifishwa na kupewa jeshi la Police?
Nakumbuka, pia alikuwa na meli, na bonge la jumba Masaki, lina windmill, na akachimba bore hole anatumia maji yake na umeme wake. Benzi nyeupe, ndani white leather, dereva wake anavaa white na urembo wa kijeshi na kofia kama ya polisi
P
 
Huyu jamaa alisumbuana sana na Mwalimu! Siku ingine nitakukumbusha kisa kingine
 
lord rajipar nyumba zake pale mikocheni wamepewa maafisa wa polisi
 
Alikuwa na mdogo wake alikuwa ni member wa Gymkhana club nilikuwa nakutana nae sana mitaa ya town.
 
Unakumbuka nyumba za Lord Rajipar za pale karibu na TANESco Mikocheni zilivyotaifishwa na kupewa jeshi la Police?
mpk sasa ziko chini ya jeshi lkn mwendazake km aliziwekea ngumu kuzindua ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…