TANZIA Rubani wa Ndege iliyotekwa 1982 kushinikiza Nyerere ajiuzulu afariki dunia

TANZIA Rubani wa Ndege iliyotekwa 1982 kushinikiza Nyerere ajiuzulu afariki dunia

Mkuu Paskal, kuna mambo ya zamani ukiyakumbuka unabaki kufurah…enzi za “nenda kwa singasinga ndo utapata spare hii” huwa sisahau huu msemo maarufu wa mzee wangu hapo akinutuma kununua spare ya Bedford au Zepha 6!
Mkuu Kamanda Moshi , enzi hizo mambo ya ufundi wa magari ni masingasinga, toka enzi za mashindano ya magari ya East Africa Safari Rally, mzungu Bert Sharkland wa Tanganyika Motors na singasinga Joginder Sing.
P
 
Duu umenikumbusha benzi ya mzee Aikaeli Mbowe ikaja imeandikwa jina kila kifaa
Enzi hizo Waswahili wenye Benzi wanahesabika!. Mimi nawakumbuka Benzi ya Mzee Lupembe, Benzi ya Obed Katikaza, Benzi ya Dr. Mtawali. Benzi ya Dr. fulani Changombe. Tajiri mmoja akiitwa Mgaya yeye ndio alikuwa ana Range!.
P
 
Walikuwa ni mtu na kaka yake, na wote brand cars zao zilikuwa ni Volvo, enzi hiyo mawaziri gari zao zikiwa ni Pegeot 504 number zikiwa STC na STD!. Gari za polisi zilikuwa Landrover 109, na escort ya Nyerere ilikuwa Peogeot 404. Benzi yenyewe ya Nyerere naomba nisiseme, ila kulikuwa na mhindi tajiri kwa jina la Lord Rajipar, akaleta Benz kali kuliko ya Rais, S Class 500 miaka hiyo!. alitiwa ndani kwa uhujumu!.
Rip Capt. Mazula umetukumbusha mbali!.
P
Hivi kuliwahi kuwa na namba za STF kweli nakumbuka STE na STG
 
Walikuwa ni mtu na kaka yake, na wote brand cars zao zilikuwa ni Volvo, enzi hiyo mawaziri gari zao zikiwa ni Pegeot 504 number zikiwa STC na STD!. Gari za polisi zilikuwa Landrover 109, na escort ya Nyerere ilikuwa Peogeot 404. Benzi yenyewe ya Nyerere naomba nisiseme, ila kulikuwa na mhindi tajiri kwa jina la Lord Rajipar, akaleta Benz kali kuliko ya Rais, S Class 500 miaka hiyo!. alitiwa ndani kwa uhujumu!.
Rip Capt. Mazula umetukumbusha mbali!.
P
Unakumbuka nyumba za Lord Rajipar za pale karibu na TANESco Mikocheni zilivyotaifishwa na kupewa jeshi la Police?
 
Hawa vijana wa sasa unaweza hata kuwashika matako na bado wakaenda kikao kule twita kulalamika na mipango kibao, halafu watamalizia JF kuchamba mwezi mzima...
Hahaaaa. Vijana wa Sasa wepesi mno
 
Unakumbuka nyumba za Lord Rajipar za pale karibu na TANESco Mikocheni zilivyotaifishwa na kupewa jeshi la Police?
Nakumbuka, pia alikuwa na meli, na bonge la jumba Masaki, lina windmill, na akachimba bore hole anatumia maji yake na umeme wake. Benzi nyeupe, ndani white leather, dereva wake anavaa white na urembo wa kijeshi na kofia kama ya polisi
driver-uniform-500x500.jpg

P
 
Nakumbuka, pia alikuwa na meli, na bonge la jumba Masaki, lina windmill, na akachimba bore hole anatumia maji yake na umeme wake. Benzi nyeupe, ndani white leather, dereva wake anavaa white na urembo wa kijeshi na kofia kama ya polisi View attachment 2076538
P
Huyu jamaa alisumbuana sana na Mwalimu! Siku ingine nitakukumbusha kisa kingine
 
Walikuwa ni mtu na kaka yake, na wote brand cars zao zilikuwa ni Volvo, enzi hiyo mawaziri gari zao zikiwa ni Pegeot 504 number zikiwa STC na STD!. Gari za polisi zilikuwa Landrover 109, na escort ya Nyerere ilikuwa Peogeot 404. Benzi yenyewe ya Nyerere naomba nisiseme, ila kulikuwa na mhindi tajiri kwa jina la Lord Rajipar, akaleta Benz kali kuliko ya Rais, S Class 500 miaka hiyo!. alitiwa ndani kwa uhujumu!.
Rip Capt. Mazula umetukumbusha mbali!.
P
lord rajipar nyumba zake pale mikocheni wamepewa maafisa wa polisi
 
George Mazula jina lake alikuwa ni mwenye ku smile za zote na ni rafiki wa kila mtu.Aliwahi kufanya emergency landing na Fokker ya ATC ,matairi yalikataa kutoka na akaiweka ndege chini kwa tumbo salama salimini...hii ilikuwa DIA..

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Alikuwa na mdogo wake alikuwa ni member wa Gymkhana club nilikuwa nakutana nae sana mitaa ya town.
 
Unakumbuka nyumba za Lord Rajipar za pale karibu na TANESco Mikocheni zilivyotaifishwa na kupewa jeshi la Police?
mpk sasa ziko chini ya jeshi lkn mwendazake km aliziwekea ngumu kuzindua ..
 
Back
Top Bottom