Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Mkuu Kamanda Moshi , enzi hizo mambo ya ufundi wa magari ni masingasinga, toka enzi za mashindano ya magari ya East Africa Safari Rally, mzungu Bert Sharkland wa Tanganyika Motors na singasinga Joginder Sing.Mkuu Paskal, kuna mambo ya zamani ukiyakumbuka unabaki kufurah…enzi za “nenda kwa singasinga ndo utapata spare hii” huwa sisahau huu msemo maarufu wa mzee wangu hapo akinutuma kununua spare ya Bedford au Zepha 6!
P