Ruby Aamua Kuacha Muziki wa Bongo Fleva na Kumrudia Yesu

Wajanja watakwambia dini ndo ipo na hela saiv
 
Nje ya mada kidogo!

Ruby ni mwanamziki mzuri, napenda nyimbo zake.

Japo sivutiwi naye kimapenzi.

Ningekuwa na uwezo ningemuoa maua sama, yule ni wife material kabisa.

Au kama Kwa kula Bata basi Linah Sanga anamaliza shida zote .
Sasa nimeelewa maana ya jina lako kiongozi
 
Atleast zuchu
Huyu anaimba sijui
"Ukiona chasimama jua kinataka kinyama
Ukiona kimelala lala hakikuachi salama
Ukiona chasimama jua kinataka kinyama
Ukiona kimelala lala hakikuachi salama

Eh mama, kitu kitu iyee kitu kitu
Mama kitu kitu kituu, kitu
Eh mama, kitu kitu iyee kitu kitu
Mama kitu kitu kituu, kitu..."

Ndo huyu au kuna mwingine?
 
Inasikitisha sana!Mama yake ameimba wimbo unaeleza kuhusu anavyoipenda mashine ya kibenten chake.Habadiliki kimawazo tangu naanza kumuona Vijana Social Hall Kinondoni mwaka"1960" kabla ya uhuru wa Tanganyika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…