Ilikuwaje mbaka akatoa hayo maneno alitongozwa?Ndio yule aliyemwambia Diamond 'you are not my type'
Diamond alienda kwenye interview Clouds, huyo Diva naye akaingia studio kutambulisha nyimbo yake...Ilikuwaje mbaka akatoa hayo maneno alitongozwa?
huyu demu c ndo yule aliekuwa video queen wa ile nyimbo ya pingu na denso ft mr blue??
eti sasa hivi kawa mweupeView attachment 401894
Ndo kenyewe, yaani ukimcheki kwenye ile video kama bekitatu
sura yake na sauti yake ni kachumbari na uji wa ulezi. hahahaha two different thing.I hate her although najua sauti tu hata picha sijawahi muona
hahahahahdiva the boksi anapenda sana attention huyo dada. nakumbuka fb mpk walifunguaga page ya watu wasiompenda diva.
ambao hamumjui diva tafuten video ya wimbo wa Joanita-Pingu & Deso ft Blu, video queen wa mule ndio dada yetu diva a.k.a joanita kabla hajanywa maji na maendeleo ya simu zenye 720 na maeditings kibao.
Anatoka ule mkoa wa tetemeko nini?Pic zake full editing yaan ni wa kawaida ila anajua kujiskia mdada yule
Hv itakuwa u tube ile video? Ngoja nikaisake maana nakasikiaga tu kale kasauti cha kitotoView attachment 401894
Ndo kenyewe, yaani ukimcheki kwenye ile video kama bekitatu
Ipo ila poor qualityHv itakuwa u tube ile video? Ngoja nikaisake maana nakasikiaga tu kale kasauti cha kitoto
Nasikia baba ake anatoka ukoAnatoka ule mkoa wa tetemeko nini?
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]yan nilivyompana mpka nimeingia youtube kuona iyo video, sipendi mashauzi ya uyo dada jaman nikikuta anagombana na nyoka nitamsaidia nyoka
Hahahaaa niliwahi kuskia yeye mwenyew akisema most of gals/women hawampendi coz mna-inferiority complex towards her beautful voice against your menDiva ni nanii kwan dada anajisikia yule
I hate her although najua sauti tu hata picha sijawahi muona
Mhaya .......Pic zake full editing yaan ni wa kawaida ila anajua kujiskia mdada yule
nmekukubali kichiz kwa kucmama ktktDiva ana sauti nzuri sana, very romantic , sijui akiwa Kwa bed yukoje? But real she sound very romantic, I wish I could have you Diva in my bed [emoji39][emoji39]. My advise Is Plz Diva unayo heshima kubwa tu, same as Ruby, fanyeni kazi zenu, don't waste your time for nothing, Ruby is very talented gal, beautiful voice, very nice at stage, I love her, Ruby!!! Plz ladies live your life. It's better to find solutions of your problems than making problems to other people. Live your Life Ruby & Diva