Ruby ampa za uso Diva

Ruby ampa za uso Diva

Ndio yule aliyemwambia Diamond 'you are not my type'
 
huyu demu c ndo yule aliekuwa video queen wa ile nyimbo ya pingu na denso ft mr blue??
diva.jpg

Ndo kenyewe, yaani ukimcheki kwenye ile video kama bekitatu
 
diva the boksi anapenda sana attention huyo dada. nakumbuka fb mpk walifunguaga page ya watu wasiompenda diva.
ambao hamumjui diva tafuten video ya wimbo wa Joanita-Pingu & Deso ft Blu, video queen wa mule ndio dada yetu diva a.k.a joanita kabla hajanywa maji na maendeleo ya simu zenye 720 na maeditings kibao.
hahahahah
 
clouds wanajuwa sana kukitumia kipaji cha mtu mapema kabla hajajanjaruka.

huyu ruby walimtumia sana.walimrekodi promo audio nyingi kwa ajili ya kupromoti matangazo yao ya radio

kwa kuwa alikuwa bado hajapevuka kibiashara, aliona ufahari kusikika redioni bila maslahi.
 
Diva ana sauti nzuri sana, very romantic , sijui akiwa Kwa bed yukoje? But real she sound very romantic, I wish I could have you Diva in my bed [emoji39][emoji39]. My advise Is Plz Diva unayo heshima kubwa tu, same as Ruby, fanyeni kazi zenu, don't waste your time for nothing, Ruby is very talented gal, beautiful voice, very nice at stage, I love her, Ruby!!! Plz ladies live your life. It's better to find solutions of your problems than making problems to other people. Live your Life Ruby & Diva
nmekukubali kichiz kwa kucmama ktkt
 
Back
Top Bottom