Una kipimo cha mafanikio ya mtu mkuu?Kweli kabisa mkuu umenena kwa kipaji cha barnaba alitakiwa awe na mafanikio zaidi ya aliyonayo sasa..... uzuri ni kwamba barnaba mwenyewe amejitambua anajituma sana na anakubalika bila hata influence ya mawingu otherwise angekuwa ametumika na kupotea kabisa... Ni mtazamo tu
AiseeeHapo kwe mvuto.. hapana aiseee.. hana hata kidogo.. 00%
Kuimba sawa, ila mvuto, kakosa kabisa..!! mgumuuu, mkavuu kama mihogo ya kuchoma, hapana asiee
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji115] [emoji115]Hapo kwe mvuto.. hapana aiseee.. hana hata kidogo.. 00%
Kuimba sawa, ila mvuto, kakosa kabisa..!! mgumuuu, mkavuu kama mihogo ya kuchoma, hapana asiee
duuhhHapo kwe mvuto.. hapana aiseee.. hana hata kidogo.. 00%
Kuimba sawa, ila mvuto, kakosa kabisa..!! mgumuuu, mkavuu kama mihogo ya kuchoma, hapana asiee
Nachomaanisha alitakiwa awe level sawa na Diamond na Ali kiba hata kimataifa kabisa siyo tu kumiliki nyumba na magari alitakiwa asikike mbali zaidi naamini angetuwakilisha vizuri but jambo zuri ni kwamba anaendeleza mziki mzuri asikate tamaa mafans wake tupoUna kipimo cha mafanikio ya mtu mkuu?
Mjinga tu Hugo mtoto angeweza kutumia umaarufu wake kufanya biashara nyingineMkuu ukiisikiliza ile nyimbo ya ruby 'wale wale' utagundua ruby yupo sahihi kuchukua maamuzi Yale sema hakufanya wakati sahihi
Kama kweli clouds wana jali maslahi ya wasanii mbona barnaba mafanikio hayaendani na kipaji na recho je ndo maana ruby kuna mstari anasema
'ATAKUPA UNACHOTAKA AKUTUMIE ANAVYOTAKA
MUNGU MTU '
Ruby ameikimbia clouds kwasababu wanajali umaarufu kuliko pesa aliogopa ya lina recho amini na barnaba
Wanakufanya uwe maarufu lakini mfukoni njaaa imetawala
Go go ruby
Kwako wewe Diamond na Ali kiba ndio kipimo?Nachomaanisha alitakiwa awe level sawa na Diamond na Ali kiba hata kimataifa kabisa siyo tu kumiliki nyumba na magari alitakiwa asikike mbali zaidi naamini angetuwakilisha vizuri but jambo zuri ni kwamba anaendeleza mziki mzuri asikate tamaa mafans wake tupo
Ni kweli anaroho mbaya,tena sana tu..maana amemtoa mtoto wa watu huko mwanza alikokuwa anauza mitumba na kuimba nyimbo za Injili,akamleta huku bongo kwa ajili ya muziki,akampa na jina la Ruby,akamwandikia na mashairi,akamwingiza na studio kurekodi,wakashoot mpaka video...ndio mimi na wewe tukapata kufahamu kama kuna mtu anaitwa Ruby kwenye muziki...hakika hiyo ni roho mbaya ya Ruge!!Ruge ana roho mbaya sana
Una uhakika 100% kuwa sijawahi kumuona.Nina ukakika 100% hujawahi hata kumuona kwa sura achilia mbali kumjua.Utasemaje mtu ana roho mbaya wakati hakuna chochote kinachowaunganisha?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji115] [emoji115]
Hivi mkuu mshana jr unaamini bila kuwalamba miguu clouds mtu hawezi kufanya muziki katika inchi hii?Hapana
hiyo video tunaipataje mkuu,maana wewe ndio umekuja na la maana,hayo ya ruby kupanda au kushuka atajijua mwenyewe,jaribu kufanya namna inifikie na mimi mkuu kama unayo,kizuri kula na ndugu yako eti..Hivi mkuu rubby ndio huyo amber lulu video yake ya ngono iliovuja week hii au mwingine mshana jr
aje akujibu, au ruge ka-hack account yake???????Mshana, account yako inatumiwa na ruge, au ww ni ruge?
Huyu binti kwa kipaji alicho nacho anaweza kufanya muziki inchi yoyote na akavuma kama akiwa na watu sahihi nyuma yake, hato huyo Ruge hakukitendea haki kipaji cha huyu binti.Mziki wa bongo upo chini ya fella,Tale na Ruge sasa huyu dada anagombana na 2 kati yao..pumbav tumsahau tu
utakuwa iwe wewe c bure! napenda kujfunza kuliko kusomambona ni vijana wadogo? they should go back to school, mtu ana 21 eti ashakata tamaa tchaa
ukisoma haujifunzi?utakuwa iwe wewe c bure! napenda kujfunza kuliko kusoma