Ruby! sifa zimemponza

Ruby! sifa zimemponza

Kweli kabisa mkuu umenena kwa kipaji cha barnaba alitakiwa awe na mafanikio zaidi ya aliyonayo sasa..... uzuri ni kwamba barnaba mwenyewe amejitambua anajituma sana na anakubalika bila hata influence ya mawingu otherwise angekuwa ametumika na kupotea kabisa... Ni mtazamo tu
Una kipimo cha mafanikio ya mtu mkuu?
 
Binti Alikuwa sahihi kukimbia mapapaa wa music sema akipata chaka atakuwa vyema tu bado sana kupotea
 
Ruby bado ana nafasi ya kufanya vizuri, anayo pia nafasi ya kuomba msamaha kwa aliowakosea na hata kujirudi na kumsamehe aliemkosea.
-Watu wengine dunia hii wapo tayari kukushusha na kukuharibia jina hata na kushangilia pale utakapoteleza na kujikwaa.
*Kuna maisha baada ya muziki na fursa zipo nyingi na si lazima kufanya muziki, wakikubania upande mmoja Mungu atakufungulia upande wa pili.
 
Hapo kwe mvuto.. hapana aiseee.. hana hata kidogo.. 00%

Kuimba sawa, ila mvuto, kakosa kabisa..!! mgumuuu, mkavuu kama mihogo ya kuchoma,
hapana asiee
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji115] [emoji115]
 
Una kipimo cha mafanikio ya mtu mkuu?
Nachomaanisha alitakiwa awe level sawa na Diamond na Ali kiba hata kimataifa kabisa siyo tu kumiliki nyumba na magari alitakiwa asikike mbali zaidi naamini angetuwakilisha vizuri but jambo zuri ni kwamba anaendeleza mziki mzuri asikate tamaa mafans wake tupo
 
Mkuu ukiisikiliza ile nyimbo ya ruby 'wale wale' utagundua ruby yupo sahihi kuchukua maamuzi Yale sema hakufanya wakati sahihi

Kama kweli clouds wana jali maslahi ya wasanii mbona barnaba mafanikio hayaendani na kipaji na recho je ndo maana ruby kuna mstari anasema

'ATAKUPA UNACHOTAKA AKUTUMIE ANAVYOTAKA
MUNGU MTU '
Ruby ameikimbia clouds kwasababu wanajali umaarufu kuliko pesa aliogopa ya lina recho amini na barnaba

Wanakufanya uwe maarufu lakini mfukoni njaaa imetawala
Go go ruby
Mjinga tu Hugo mtoto angeweza kutumia umaarufu wake kufanya biashara nyingine
 
Nachomaanisha alitakiwa awe level sawa na Diamond na Ali kiba hata kimataifa kabisa siyo tu kumiliki nyumba na magari alitakiwa asikike mbali zaidi naamini angetuwakilisha vizuri but jambo zuri ni kwamba anaendeleza mziki mzuri asikate tamaa mafans wake tupo
Kwako wewe Diamond na Ali kiba ndio kipimo?
 
Ruge ana roho mbaya sana
Ni kweli anaroho mbaya,tena sana tu..maana amemtoa mtoto wa watu huko mwanza alikokuwa anauza mitumba na kuimba nyimbo za Injili,akamleta huku bongo kwa ajili ya muziki,akampa na jina la Ruby,akamwandikia na mashairi,akamwingiza na studio kurekodi,wakashoot mpaka video...ndio mimi na wewe tukapata kufahamu kama kuna mtu anaitwa Ruby kwenye muziki...hakika hiyo ni roho mbaya ya Ruge!!
.
Usiuhukumu ubaya wa Ruge,angalia na mazuri yake pia..
Katika bifu hili mimi na wewe hatujui zaidi ya wao wenyewe..
 
Nina ukakika 100% hujawahi hata kumuona kwa sura achilia mbali kumjua.Utasemaje mtu ana roho mbaya wakati hakuna chochote kinachowaunganisha?
Una uhakika 100% kuwa sijawahi kumuona.

Hebu thibitisha hilo kuwa sijawahi hata kumuona ama simjui kisha tuendelee.
 
Hivi mkuu rubby ndio huyo amber lulu video yake ya ngono iliovuja week hii au mwingine mshana jr
hiyo video tunaipataje mkuu,maana wewe ndio umekuja na la maana,hayo ya ruby kupanda au kushuka atajijua mwenyewe,jaribu kufanya namna inifikie na mimi mkuu kama unayo,kizuri kula na ndugu yako eti..
 
Mziki wa bongo upo chini ya fella,Tale na Ruge sasa huyu dada anagombana na 2 kati yao..pumbav tumsahau tu
Huyu binti kwa kipaji alicho nacho anaweza kufanya muziki inchi yoyote na akavuma kama akiwa na watu sahihi nyuma yake, hato huyo Ruge hakukitendea haki kipaji cha huyu binti.
 
hivi clouds ni monopoly company kama vile ilivyo Tanesco na TTCl tz au?
 
Ukiwa na heshima na kazi utapata mafanikio, kwa huyu no kadanganywa
 
Back
Top Bottom