Una kipimo cha mafanikio ya mtu mkuu?Kweli kabisa mkuu umenena kwa kipaji cha barnaba alitakiwa awe na mafanikio zaidi ya aliyonayo sasa..... uzuri ni kwamba barnaba mwenyewe amejitambua anajituma sana na anakubalika bila hata influence ya mawingu otherwise angekuwa ametumika na kupotea kabisa... Ni mtazamo tu