Rufaa dhidi ya Sabaya ngoma ngumu bado

Rufaa dhidi ya Sabaya ngoma ngumu bado

Mzalendo anafungwa jela alafu gaidi anaachwa kuzurula marekani.

Ujinga mtupu only in Tanzania
Mjane utateseka Sana kipindi hiki na sikukuu ya xmass tafuta danga la kukukampani kwani le general atakuwa kisongo anatumikia miaka 30 huku akisubiri kuongezewa miaka mingine. Gaidi wa mchongo anakula Bata kwa mrija huko mambele! Unatesekaje?
 
Huyu akija kuchomoka huko kitaa anaanza upyalazima dishi liyumbe kwanza asipokua makini ndo maisha yanaharibika kwa depression
Mbona anakuaga na roho ngumu sana?.

Sipendi alivyoonea watu lkn namhurymia anavyopitia huku waliomtuma hawako naye
 
Kama namwona vile anavyoulaumu moyo wake kwa kutomsikiliza Lema. Laiti angejipa dk. 5 za kuyatafakari mazungumzo Yale ya Lema hakika asingekuwa gerezani leo but ndio hivyo kiburi Cha madaraka kilitamalaki na kumtia upofu wa fikra! Apambane na nduguze Sasa kwa msiba aliowapelekea!
 
Lema alimtabiria kila kitu ila ndio hivyo kiburi hakusikia
 
Siasa za Afrika ni vituko show ,
Afrika ina viongozi wajinga , wanaotaka ukuu na sio kutumikia , wabinafsi ,

Kiongozi anashindwa kuhakikisha umeme ni wa uhakika - anaenda kupambana na mwanadamu mmoja kwa kumkomoa
 
Hapa sijaelewa rangi yako: ni kijani au bluu?
 
Hata sasa hivi sijafahamu nipo hapa kwa sababu gani? Hivyo sijatafuta wakili na nimetoka Moshi chini ya uangalizi wa daktari naumwa,"ameeleza Sabaya

Sabaya ameiomba mahakama hiyo wiki mbili ili aweze kujiandaa na kufanya mawasiliano na mawakili wake pamoja na familia yake.

"Mheshimiwa naomba unitendee haki nahitaji wiki mbili kujiandaa kwani nina appointment na madaktari KCMC tarehe 15, na kuna mipangilio ya malipo kwa mawakili naomba unipe muda ili haki itendwe kikamilifu," Sabaya.
Malipo ni hapa hapa duniani
 
Akiahirisha rufaa hiyo Jaji Maghimbi amesema rufaa imepangwa kusikilizwa mfululizo kwa muda wa siku tano na wakili wa Sabaya hajatoa taarifa yoyote kwa mahakama hivyo rufaa hiyo kuanza kusikilizwa kesho Desemba 13.
Mawakili wake wameshaona ngoma nzito wamekula nduki.

Sabaya anawatafuta hawapati🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom