Rufaa dhidi ya Sabaya ngoma ngumu bado

Rufaa dhidi ya Sabaya ngoma ngumu bado

Kama namwona vile anavyoulaumu moyo wake kwa kutomsikiliza Lema. Laiti angejipa dk. 5 za kuyatafakari mazungumzo Yale ya Lema hakika asingekuwa gerezani leo but ndio hivyo kiburi Cha madaraka kilitamalaki na kumtia upofu wa fikra! Apambane na nduguze Sasa kwa msiba aliowapelekea!

Shida hata wakimtoa gerezani huku uraiani watampiga shaba, bora azekee huko kwaajili ya uhai wake. Kumbuka wenzake walishamchoma wakaachiwa kwa hivyo ana hali ngumu.
 
M
Siasa za Afrika ni vituko show ,
Afrika ina viongozi wajinga , wanaotaka ukuu na sio kutumikia , wabinafsi ,

Kiongozi anashindwa kuhakikisha umeme ni wa uhakika - anaenda kupambana na mwanadamu mmoja kwa kumkomoa

Seriakli ya CCM imamkomoa mwanachama wa CCM.
 
M

Seriakli ya CCM imamkomoa mwanachama wa CCM.
Unadhani Mbowe akipewa nchi , kutatuondolea shida au itakuwa ni shida juu ya shida

Hawa wapinzani walishapewa nafasi za juu serikalini , lakini hakukuwa na mabadiliko,
wao na ccm ni wale wale tu
 
Unadhani Mbowe akipewa nchi , kutatuondolea shida au itakuwa ni shida juu ya shida

Hawa wapinzani walishapewa nafasi za juu serikalini , lakini hakukuwa na mabadiliko
wao na ccm ni wale wale tu
Lumumba fc at work.
 
Lumumba fc at work.
Mi na siasa ni vitu viwili tofauti,
Mi ni Mkristu - Sio follower wa mtu yoyote , coz wote mnaigiza, hamuishi katika reality
Mbowe anajiita mzalendo , alafu mwanawe anambadilisha urai
 
W

Watamwachia baada ya kujifunza kwamba kiburi na dharau ni anguko. Cha msingi ashinde rufaa zote mbili. Maana akianguka itabidi akate rufaa yeye.
Lugha ngumu umetumia! "Cha msingi ashinde rufaa zote mbili. Maana akianguka itabidi akate rufaa yeye" hapa maana yake nini?
 
Mzalendo anafungwa jela alafu gaidi anaachwa kuzurula marekani.

Ujinga mtupu only in Tanzania
Wewe ni mzigo wa shit! Ubongo wako Umejaa funza! Ukoo wako na familia yako wamepata hasara kubwa Sana! Bora ungebakia fb kwa wapumbavu wenzako ashakum si matusi! Hufai hata kuwa kiongozi wako mwenyewe licha ya familia yako!
Huwezi kutangamisha Jamii kwa kusimamia ukweli na haki! Wewe ni mvurigaji aisyefaa katika Jamii ya wastaarabu na inayojali utu na kutjamini uhai na heshima ya binadamu!
Hai, Arusha sio mbinguni aliyoyafanya General Lengai yalikua dhahiri! Hakuna namna unaweza kuthibitisha FAM Alikua gaidi ndio mana watawala wakaamua kuwithdraw waka-ejercukate nje kukwepa aibu ya ndani na nje na laana Juu ya vizazi vyao.
 
Shida hata wakimtoa gerezani huku uraiani watampiga shaba, bora azekee huko kwaajili ya uhai wake. Kumbuka wenzake walishamchoma wakaachiwa kwa hivyo ana hali ngumu.
Hivi kweli, alishindwaje ku bagain na Dpp akatemwa pamoja na wenzake ama ndiyo kiburi chenyewe hicho?
 
Mi na siasa ni vitu viwili tofauti,
Mi ni Mkristu - Sio follower wa mtu yoyote , coz wote mnaigiza, hamuishi katika reality
Mbowe anajiita mzalendo , alafu mwanawe anambadilisha urai
Sasa hapa jukwaa la siasa unafanya nini? We mnafiki wa lumumba
 
Sabaya ambaye leo pia alikuwa na kesi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi, ameomba kuahirisha kwa kesi hiyo kwa sababu hakuwa na uwakilishi wa mawakili mahakamani hapo.
Kwanini asikubali yaishe
 
Kuwa mpole sindano ikuingie
 
Attachments

  • A08E54DF-25A0-44E1-9D9D-16F04C4E7492.jpeg
    A08E54DF-25A0-44E1-9D9D-16F04C4E7492.jpeg
    22.7 KB · Views: 3
Siasa za Afrika ni vituko show ,
Afrika ina viongozi wajinga , wanaotaka ukuu na sio kutumikia , wabinafsi ,

Kiongozi anashindwa kuhakikisha umeme ni wa uhakika - anaenda kupambana na mwanadamu mmoja kwa kumkomoa
Mbona wakati FAM akipambana na kesi ya mchongo ya Ugaid hukuishangaa serikali kutumia mabilioni ya fedha kuwalipa mashahidi wa mchongo pamoja na posho za jaji kila siku na kuzielekeza katika kuboresha hali ya maisha ya watanzania? Do you people think before uttering words? Hapo hakuna kiongozi anayepambana nae kinachofanyika ni mfumo wa utoaji haki (mahakama ) unatimiza wajibu wake. Mwisho wa siku kama hana hatia justice will be served ! Period ukiambiwa intake kiongozi anayemweka bwana mdogo katika Hiyo dhahama utamtaja?
 
Hivi yule gaidi alisamehewa au alishinda kesi
Kama umesamehewa , basi unahatia ,
Coz huwezi ukasemehewa kama huna kosa
 
Hivi yule gaidi alisamehewa au alishinda kesi
Kama umesamehewa , basi unahatia ,
Coz huwezi ukasemehewa kama huna kosa
Nina mashaka na mambo yafuatayo kuhusu wewe:
-Umri wako na Jambo linalojadiliwa.
-Uwezo wako wa kufikiri na kuchambua mambo kwa uhalisia na ukweli wake
-kiwango chako Cha elimu na kama ulienda shule kupata maarifa ya kukusaidia wewe na Jamii inayokuzunguka au ulihudhuria tu madarasa!
-Na kama WAZAZI wako waliuza NG'OMBE WAKAPELEKA NG'OMBE ingine shule.
Nakujibu:
Katika mfumo wa utoaji haki Tanzania mahakama haina mamlaka ya kutoa msamaha kwa mtuhumiwa Bali humwachia huru pale ushahidi unaposhindwa kumtia hatiani au aliyeshtaki anapoonesha nia ya kutoendelea na Shauri.

Raisi ana mamlaka kisheria kwa baadhi ya makosa kuyatolea msamaha (parole) na sio makosa yote

DPP alionesha Nia ya kutotaka kuendelea na kesi ya FAM kwa sababu anazozijua yeye na sio kwamba alitoa msamaha kwani hama mamlaka Hayo,

FAM hakusamehewa kwa sababu Jamhuri haikumtia hatiani hata kidogo, Ila katika mfululizo wa kesi alionekana ana kesi ya kujibu. Jamhuri haikutaka ajibu kesi yenyewe kwani majibu yake (utetezi) ungeitia aibu Tanzania sio nyumbani tu hata kwenye Jumuiya ya Kimataifa!

DPP akaamua kuwithdraw akamwaga nje. Nimekujibu mpumbavu mmoja Wewe (ashakum si matusi)
 
Shida hata wakimtoa gerezani huku uraiani watampiga shaba, bora azekee huko kwaajili ya uhai wake. Kumbuka wenzake walishamchoma wakaachiwa kwa hivyo ana hali ngumu.
Ila na wao wamekatiwa rufaa kwenye kesi iliyowafunga maisha, hivyo na wao watarudishwa kusikiliza rufaa yao
 
Back
Top Bottom