Nina mashaka na mambo yafuatayo kuhusu wewe:
-Umri wako na Jambo linalojadiliwa.
-Uwezo wako wa kufikiri na kuchambua mambo kwa uhalisia na ukweli wake
-kiwango chako Cha elimu na kama ulienda shule kupata maarifa ya kukusaidia wewe na Jamii inayokuzunguka au ulihudhuria tu madarasa!
-Na kama WAZAZI wako waliuza NG'OMBE WAKAPELEKA NG'OMBE ingine shule.
Nakujibu:
Katika mfumo wa utoaji haki Tanzania mahakama haina mamlaka ya kutoa msamaha kwa mtuhumiwa Bali humwachia huru pale ushahidi unaposhindwa kumtia hatiani au aliyeshtaki anapoonesha nia ya kutoendelea na Shauri.
Raisi ana mamlaka kisheria kwa baadhi ya makosa kuyatolea msamaha (parole) na sio makosa yote
DPP alionesha Nia ya kutotaka kuendelea na kesi ya FAM kwa sababu anazozijua yeye na sio kwamba alitoa msamaha kwani hama mamlaka Hayo,
FAM hakusamehewa kwa sababu Jamhuri haikumtia hatiani hata kidogo, Ila katika mfululizo wa kesi alionekana ana kesi ya kujibu. Jamhuri haikutaka ajibu kesi yenyewe kwani majibu yake (utetezi) ungeitia aibu Tanzania sio nyumbani tu hata kwenye Jumuiya ya Kimataifa!
DPP akaamua kuwithdraw akamwaga nje. Nimekujibu mpumbavu mmoja Wewe (ashakum si matusi)