Namuona huruma msabato mwenzangu. Maana inaonesha hana hata mia kwa sasa, hizo hela ukute ni za familia kujichanga. Mawakili wamekazaHapo shida ni pesa ndio maana kasema Hakimu ampe muda shughulikie malipo ya mawakili wake.
Tunarudi pale pale , kuwa alisamehewa kutokana ana makosa,Nina mashaka na mambo yafuatayo kuhusu wewe:
-Umri wako na Jambo linalojadiliwa.
-Uwezo wako wa kufikiri na kuchambua mambo kwa uhalisia na ukweli wake
Acha haraka som vizuri nilichoandika ndio ujibu! Au ubongo wako ni wa kuku usioweza kujadili mambo mazito?Tunarudi pale pale , kuwa alisamehewa kutokana anamakosa,
Kama asingekuwa na kosa angeshinda kesi mahakamani
Hakuna haja ya kutumia nguvu,kama Hayo yote huwezi kufanya wewe ni mpumbavu (ashakum) si matusi!
Mbona una haraka na hujibu hoja ninazokuwekea! Kuna mtu anasamehewa bila kutiwa hatiani! Na je msamaha unakua nadharia tu?Hakuna haja ya kutumia nguvu,
Umesamehewa dhambi - maana ulikuwa mdhambi
Haitaji elimu ya chuo changanua hili
Tutajie wapinzani japo watatu tu waliowahi kupewa nafasi za juu serikalini.... Nami nitakuonesha nguzo ya umeme inayozaa mapapai....Unadhani Mbowe akipewa nchi , kutatuondolea shida au itakuwa ni shida juu ya shida
Hawa wapinzani walishapewa nafasi za juu serikalini , lakini hakukuwa na mabadiliko,
wao na ccm ni wale wale tu
Umetumia nguvu nyingi sana kukaelewesha hako kapumbavu... Mashaka yangu ni kwamba pamoja na nguvu zote hizo kanaweza kasikuelewe...Nina mashaka na mambo yafuatayo kuhusu wewe:
-Umri wako na Jambo linalojadiliwa.
-Uwezo wako wa kufikiri na kuchambua mambo kwa uhalisia na ukweli wake
-kiwango chako Cha elimu na kama ulienda shule kupata maarifa ya kukusaidia wewe na Jamii inayokuzunguka au ulihudhuria tu madarasa!
-Na kama WAZAZI wako waliuza NG'OMBE WAKAPELEKA NG'OMBE ingine shule.
Nakujibu:
Katika mfumo wa utoaji haki Tanzania mahakama haina mamlaka ya kutoa msamaha kwa mtuhumiwa Bali humwachia huru pale ushahidi unaposhindwa kumtia hatiani au aliyeshtaki anapoonesha nia ya kutoendelea na Shauri.
Raisi ana mamlaka kisheria kwa baadhi ya makosa kuyatolea msamaha (parole) na sio makosa yote
DPP alionesha Nia ya kutotaka kuendelea na kesi ya FAM kwa sababu anazozijua yeye na sio kwamba alitoa msamaha kwani hama mamlaka Hayo,
FAM hakusamehewa kwa sababu Jamhuri haikumtia hatiani hata kidogo, Ila katika mfululizo wa kesi alionekana ana kesi ya kujibu. Jamhuri haikutaka ajibu kesi yenyewe kwani majibu yake (utetezi) ungeitia aibu Tanzania sio nyumbani tu hata kwenye Jumuiya ya Kimataifa!
DPP akaamua kuwithdraw akamwaga nje. Nimekujibu mpumbavu mmoja Wewe (ashakum si matusi)
Vinatia kinyama hivi vivulana vinavyookoteza hekaya za vijiweni na kuja kujadili kwenye platform ambazo watu wanafikiri kwanza, wanatafiti na kutoa taarifa au hoja zisizo na ukakasiUmetumia nguvu nyingi sana kukaelewesha hako kapumbavu... Mashaka yangu ni kwamba pamoja na nguvu zote hizo kanaweza kasikuelewe...
Ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa ili acheze reggae...
Mwizi huyo mporaji mwache asugue benchi mbwa huyoMzalendo anafungwa jela alafu gaidi anaachwa kuzurula marekani.
Ujinga mtupu only in Tanzania
Atauza Hadi boxa mbwa huyoMchangieni pesa ya wakili huyu jambazi ameishiwa hana hela ameshauza ng’ombe zote za baba yake huko Olmotonyi.
Watu wanathamini nafasi uliyonayo kwa wakati huo na inamsaada Gani kwao siku nafasi ikiondoka basi huna umuhimu tenaMstafu kamanda Kova aliwahi kusema baada ya kustafu akaachia Ofisi hata akiwapigia simu staff wenzake hawapokei simu.
🤣🤣Watu wanathamini nafasi uliyonayo kwa wakati huo na inamsaada Gani kwao siku nafasi ikiondoka basi huna umuhimu tena